Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Yule Mshabiki wa Yanga aliyesema Yanga watashinda 2-1 Mtabiri wake kaonyesha zahiri ni utabiri kubahatisha Mungu anajuwa kama vitu kama mpira anawaachia wachezaji juhudi wenye juhudi zaidi ndio wanashinda> Labda tuseme watabiri wa lile Tangazo la Simba 1 Yanga 1 ndio wamepatia.
 
Simba wameokolewa na mbeleko ya mathew akrama vinginevyo wangepakatwa leo.
 
Mimi yanga but bongo hakunanga mupira yenyewe inavutia,tunashabikianga majina ya timu tu!
 
5 + 1-1= 5 Yanga bado hawajaweza kulipa goli hizo
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Afadhali tu mpira uishe sasa maana naona matumaini ya Simba kufunga ni kidogo.
 
Yanga wanafanya sub.....Juma Abdul anaingia badala ya Yondani,

Yondani atakuwa kaumia sana....
Ile rafu unajua Yondani kapiga kelele hadi sauti imesikika kwenye Tv,namlaani sana Boban
 
Watanzania tuna haja ya kujikita kwenye kuendeleza vipaji vya watoto/vijana wetu......Vijana wa under 20 leo ndiyo wamekuwa nyota wa mchezo kuanzia Shomari Kapombe, Jonas Mkude, Edward Chritopher, Simon Msuva, Juma Abdul na Frank Domayo.......

Kuingia kwa Frank Domayo baada ya kutolewa Hamis Kiiza dakika ya 35 ndio kumebadilisha mchezo wa Yanga.......Domayo amecheza vizuri sana pale kati kwa kushirikiana na Athumani Idd 'Chuji' a.k.a Father Kidevu.......

Nimependa sana aina ya uchezaji wa beki kiraka Mbuyu Twite.......Hana papara na anatulia, anaweza kushoot on goal hata akiwa mbali na kipindi cha kwanza kuna mpira ameupiga akiwa mbali ulikuwa unaelekea kuingia golini bahati nzuri Kaseja aliuwahi akaupangua.....
 
Boban Kiasi wanamuita Ballotelli sababu ndio kama zile mpira anaujua ila nizamu zake ni bila kufikiria Kama Mshabiki wa Simba naweza kusema Yanga wamecheza vizuri ila haimaanishi Simba wamecheza Vibaya sana mbele tu ndio ilikuwa tatizo Simba.
 
Yule Mshabiki wa Yanga aliyesema Yanga watashinda 2-1 Mtabiri wake kaonyesha zahiri ni utabiri kubahatisha Mungu anajuwa kama vitu kama mpira anawaachia wachezaji juhudi wenye juhudi zaidi ndio wanashinda> Labda tuseme watabiri wa lile Tangazo la Simba 1 Yanga 1 ndio wamepatia.

Tangu hapo Yanga 2 Simba 1,umelisahau lile goli la offside la Kavumbagu?
 
Nadhani matokeo ya mwisho yatakuwa kama "Dk" Uwesu alivyotabiri....

Umeliwa kekundu.....! Nyie ndo mkiambiwa kaue mtoto wako utapata utajiri unafanya hivyo bila kujua kuwa unadanganywa na kutapeliwa pesa zako.! Pole sana Simba 1 Yanga 1.
 
Yule Mshabiki wa Yanga aliyesema Yanga watashinda 2-1 Mtabiri wake kaonyesha zahiri ni utabiri kubahatisha Mungu anajuwa kama vitu kama mpira anawaachia wachezaji juhudi wenye juhudi zaidi ndio wanashinda> Labda tuseme watabiri wa lile Tangazo la Simba 1 Yanga 1 ndio wamepatia.
Hakukosea bana....Ni kweli Yanga wamefunga 2 na Simba wamefunga 1........Goli 1 la Yanga refa amelikataa.......

Teh teh.....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Asante sana StarTv Radio Free Africa Tanzania*|* STARTV LIVE

updates:
Simba 1 - Yanga 1
- Goli la simba limefungwa dk ya 4 na Mchezaji Amri Kiemba, Goli la Yanga limefungwa na Bahanuzi katika dakika ya 65 ya mchezo kwa njia ya penalty

Redcard: Dakika ya 80, yanga sasa wanacheza 10 uwanjani:

Dakika ya '90', bado 'ngoma droo' - dakika 5 zimeongezwa.

Mpira umekwisha, Simba 1 - Yanga 1. Angalau sasa kutakuwa na amani pale 'jangwani'!
...lakini swala la deni bado liko palepale!!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
...lakini swala la deni bado liko palepale!!
Deni la Twite? Uwanja naona ulikuwa full, hivyo Yanga hawana sababu ya kushindwa kulipa deni! - Hasa ukizingatia kuwa ni Yanga ya Manji.
 
Hakukosea bana....Ni kweli Yanga wamefunga 2 na Simba wamefunga 1........Goli 1 la Yanga refa amelikataa.......

Teh teh.....

Haya Mkuu ila Game ilivyoanza ulijificha nikajiuliza Balatanda kajifichia wapi? kusikia Goli la Yanga ulikuja mbio mpaka Password yako ya jamiiforum uliiweka mara tatu tatu> tehtehteh. Unakuwa kama Mkuu Wacha1 na Arsenal.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom