Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

Dakika ya 90

Yanga wanakosa goli la wazi kabisa.....Kavumbangu

Kona
 
Hili ndio soccer la Nchi yangu!

Naona red card bila chenga!

Yanga Fc wanapata red!

Refa ameharibu mchezo kwa kuwabeba simba. Tangu jana simba walishaanza kulilia huruma ya Mathew Akrama.

Pamoja na kuwa pungufu lakini Yanga bado inatawala mchezo.
 
Yanga wametahamaki wamebaki wanacheza raf badala ya mpila
 
Yanga pamoja na kucheza pungufu, wanawashambulia Simba kama kawa

Dakika 5 za nyongeza....

Offside Buhanuzi.........
 
Bahanuzi leo ni bingwa wa ofside kila akigusa mpira ni ofside
 
sasa ndo napata fleva ya mpira wa asili wa kibongo,hakuna kukaa nao wala kupiga pasi
 
Pasi Gani zile Kama Beki anapiga Goalkick ah grrrrr. Simba nini tunafanya?. Yanga hii game wameipoteza wenyewe Simba tungezipata nafasi kama hizo twende.
 
Sunzu ni bonge la GALASA...........Kama ilivyokuwa kwa KENNETH ASAMOAH NA DAVIES MWAPE
 
Back
Top Bottom