ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Dak 5 zimeongezwa bado milango migumu kwa ushindi :ranger:
😛oa😛oa😛oa:A S 465:
Dak 5 zimeongezwa bado milango migumu kwa ushindi :ranger:
naona jahazi la simba litazama soon.
Na umeisha kweli!Simba wanatamani mpira uishe.
Mahaba kitu kibaya sana jamani...............Mojamoja ila simba wametisha
Pamoja na kucheza 10 uwanjani.............Yanga wamewazidi Simba mchezo...
Said Buhanuzi ni booonge la striker.....
...deni linalipwa lini?????? 5-0Safi sana Nadir.............Yellow card
Full Time
Yanga 1-1 Simba
Sunzu ni bonge la GALASA...........Kama ilivyokuwa kwa KENNETH ASAMOAH NA DAVIES MWAPE