Dakika ya 81
Yanga 1-1 Simba
Refa keshaharibu mchezo.....
Utoto unamsumbua dogo!
huyu mtangazaji wa star tv anaonesha dhahiri ni shabiki wa yanga.kila mpira ukielekea simba anasema nafasi kwa yanga lakini wakishika mpira wachezaji wa simba hasemi nafasi kwa simba
Ndio maana yake.kwa hiyo refa anawabeba kisela nini...
na za nyongeza kama kumi hivi.bado sanaaaaaa
Yanga amesha gongwa kimoko