Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hivi unaelewa maana ya striker kijana?..........wamagoli ya penati...
Kuna mpira Buhanuzi kamzunguka Nyoso dakika ya mwisho kabla ya mpira kuisha kisha kapiga mpira kuelekea lango la Simba Kaseja akaruka kupangua kama alivyofanya kwa mpira uliopigwa na Mbuyu Twite 1st Half..........Hicho ndicho kinanifanya nimwite boooonge la striker.....
Halafu, Hivi umeiona ile penati lakini?, maana Kaseja mnayemuita mchawi wa penati kiasi cha yeye kujitapa 'THERE'S ONLY ONE KASEJA' kaenda MARIKITI.......What a penalty shoot!!.....