Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Kama nawaona vile mnavyohaha kuhamisha magoli, baada ya majina yenu mliojipa wenyewe kutrend, utopolo FC, mabonde Kuinama, mlenda United, Mkunungu sports club, gingowazi, vyura, dah mengine mtaongezea wenyewe..
Sasa tunahamishaje magoli hujamsikia Manara akisema ninyi ni mnyer.. united?
 
Habari .
Cuf wameipa timu yetu ya simba sifa kubwa za kidunia kama timu iliyopata comeback kubwa ktk mashindano yanayotambuliwa na FIFA.Hii ni heshima kubwa simba na wanasimba wote duniani.

Hali hii imeongeza mapato na faida kwa timu.Nina maoni kama shabiki wa Simba hivi tumeshindwa kukusanya hata milioni 10 tuwatafute wachezaji wa wakati huo tuwape sapraizi hata ya laki 8 kila mtu ili wajisikie vyema kwa mchango wao kwa timu yetu.

Wengine wamekufa lakini wengine bado wapo hao tu wanatosha kuwakilisha waliotangulia mbele ya Haki.
Tuna wanachama wengi na mdhamini yupo hivyo viongozi kaeni muone jinsi ya kuboresha promo hii waliyotuanzishia CUF Africa.
Mara zote kumbukizi huongeza baraka sana kwa mtu ni vema tukawa watu wa kukumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo na timu yetu bila kumsahau balozi wa tz zambia wa wakati huo alifanya kazi ya ziada.
Tupo tayari kuchanga kwa hiyari na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaha, chama cha wananchi CUF? We kweli Hamnazo
 
Manara alisema ninyi ni minyero United,mzee Rage aliwaita mbumbumbu FC. Ona sasa siku hizi chama cha siasa CUF kinajihusisha utoaji wa sifa za kidunia ktk michezo. Mwenyekiti ni huyuhuyu Lipumba ama!? Halafu hizo habari uliziona kwenye website ipi kama hukudanganywa tu kwenye vijiwe vya kahawa!?
 
Wewe chura umefuata nini kwenye uzi wa mnyama wakati Nugaz amewaambia musimame kuadhimisha mwezi mmoja toka mulipoifunga Klabu bora zaidi Afrika Mashariki.
 
Habari .
Cuf wameipa timu yetu ya simba sifa kubwa za kidunia kama timu iliyopata comeback kubwa ktk mashindano yanayotambuliwa na FIFA.Hii ni heshima kubwa simba na wanasimba wote duniani.

Hali hii imeongeza mapato na faida kwa timu.Nina maoni kama shabiki wa Simba hivi tumeshindwa kukusanya hata milioni 10 tuwatafute wachezaji wa wakati huo tuwape sapraizi hata ya laki 8 kila mtu ili wajisikie vyema kwa mchango wao kwa timu yetu.

Wengine wamekufa lakini wengine bado wapo hao tu wanatosha kuwakilisha waliotangulia mbele ya Haki.
Tuna wanachama wengi na mdhamini yupo hivyo viongozi kaeni muone jinsi ya kuboresha promo hii waliyotuanzishia CUF Africa.
Mara zote kumbukizi huongeza baraka sana kwa mtu ni vema tukawa watu wa kukumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo na timu yetu bila kumsahau balozi wa tz zambia wa wakati huo alifanya kazi ya ziada.
Tupo tayari kuchanga kwa hiyari na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
cuf ya lipumba hii ninayoijua mm au cuf ipi,,,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manara alisema ninyi ni minyero United,mzee Rage aliwaita mbumbumbu FC. Ona sasa siku hizi chama cha siasa CUF kinajihusisha utoaji wa sifa za kidunia ktk michezo. Mwenyekiti ni huyuhuyu Lipumba ama!? Halafu hizo habari uliziona kwenye website ipi kama hukudanganywa tu kwenye vijiwe vya kahawa!?
Huyo lipumba so shabiki wenu au hukumwona mwanza mlivyokuwa mnakojolewa na wamisri
 
Habari .
Cuf wameipa timu yetu ya simba sifa kubwa za kidunia kama timu iliyopata comeback kubwa ktk mashindano yanayotambuliwa na FIFA.Hii ni heshima kubwa simba na wanasimba wote duniani.

Hali hii imeongeza mapato na faida kwa timu.Nina maoni kama shabiki wa Simba hivi tumeshindwa kukusanya hata milioni 10 tuwatafute wachezaji wa wakati huo tuwape sapraizi hata ya laki 8 kila mtu ili wajisikie vyema kwa mchango wao kwa timu yetu.

Wengine wamekufa lakini wengine bado wapo hao tu wanatosha kuwakilisha waliotangulia mbele ya Haki.
Tuna wanachama wengi na mdhamini yupo hivyo viongozi kaeni muone jinsi ya kuboresha promo hii waliyotuanzishia CUF Africa.
Mara zote kumbukizi huongeza baraka sana kwa mtu ni vema tukawa watu wa kukumbuka watu waliotufikisha hapa tulipo na timu yetu bila kumsahau balozi wa tz zambia wa wakati huo alifanya kazi ya ziada.
Tupo tayari kuchanga kwa hiyari na amani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kwa Chama kubwa
 
Usikose kuangalia kipindi cha Tamasha la Michezo ITV kuanzia saa nane mchana ili umshuhudie Kocha Liston Katabazi akieleza kwa undani madudu ya TFF na ubadhilifu wa pesa unaofanywa na viongozi wachumia tumbo wa shirikisho hilo ambao ndio chanzo cha kudumaa kwa mchezo wa Soka hapa nchini.
 
Mwaliko! "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu. Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom