Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Mwanasimba Jumamosi ya tar. 23/5/2020 saa 7:00 adhuhuri usikae mbali na kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya timu bora Ukanda huu wa Afrika ya Mashariki Simba sports Club.
Kuna jambo kubwa la kushangaza (Surprise) tumewaandalia. KAA TAYARI SI YA KUKOSA.
 
Mwanasimba Jumamosi ya tar. 23/5/2020 saa 7:00 adhuhuri usikae mbali na kurasa rasmi za mitandao ya kijamii ya timu bora Ukanda huu wa Afrika ya Mashariki Simba sports Club.
Kuna jambo kubwa la kushangaza (Surprise) tumewaandalia. KAA TAYARI SI YA KUKOSA.
Ha ha ha ha ha kwa kuiga iga tu vimatukio hamjambo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapeee Salaaaam....!! Usikae mbali na Simu Yako
IMG-20200523-WA0024.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina Haji walikuwa wanafanywaje tena!? Asipomjibu hili kigogo tutajua kweli alikuwa anafanywa
IMG-20200526-WA0019.jpg
 
Mwaliko! "TWENZETU KWENYE MABADILIKO" Ndio kauli mbiu yetu kuelekea kwenye mabadiliko na utiaji saini wa makubaliano baina ya YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB " The Citizen Team" na La Liga. Kampeni itazinduliwa rasmi kesho ili kutuweka wananchi ktk mkao wa kula juu ya utiaji wa saini ya ushirikiano wa taasisi hizi mbili kubwa duniani huku wengine wakikodoa tu macho na kumeza dawa za usingizi ili wasione ila ndo hivyo Azam hawana adabu itabidi warushe tu. Mnyero United kaa kwenye TV yako kesho usikie Wananchi wana jambo lao. Mana kwa jazba mlizo nazo mnaweza kutupa hata barakoa zenu na mkanywa Sanitizer zenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi mnajua kuwa mmepigwa changa la Macho , kwanini nasema hivyo
1. GSM kwao songea (Gharib) alijitutumua kuifadhiri Maji maji FC , nadhani iliko sasa unaijua na nini kilitokea pia unakifahamu
2. Utiaji sahihi na Laliga unafanyika pasipokuwepo kwa muwakilishi hata mmoja kwenye scenario . utakuja sema jino litapogonga jiwe
3. Mauzo ya jezi kwa kutumia fanbase ya Yanga inalipa kuliko biashara ya magodoro ambayo yalishadoda kwa kuwa hayana popularity kama akina Dodoma , sasa ikipitia biashara ya magodoro na ikadatishwa na jezi akina Herisi watapata japo mauzo
4. Kwa asili ya Yanga mara kadhaa mmekataa rangi NYEKUNDU asilaani sasa ni Sevila au nyinyi atayebadili itikadi maana huku mlikopelekwa mnabatizwa kwa moto na mawe MEKUNDUUUU
5. Kwa slogan ya kuwa wawekezaji ni mabwanyeye sasa tujiulize ni nani anakula matapishi yake . Its high time sasa ushabiki wa kina kibwetere muuwache mje kwenye ulimwengu wa technology . Hebu tu ni seme mnatakiwa kuwa IMARA maana Yanga imara/madhubuti huifanya Simba kuwa Imara
 
Back
Top Bottom