Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Ndugu zangu wanamsimbazi tukubali tunashinda kiujanja ujanja tu na hatuna timu basi tu,mabeki wetu wamezeeka sana,bila mbeleko tungekuwa wa 6 huko,mtani Shadeeya punguza sauti sauti kidogo
Screenshot_20200309-103503.png
 
Wabongo bwana, Aisha Manula kasema ukweli juu ya ubora wa faulo ilopigwa na Morrison lakini Manara Haji amechukia na kukasirika hadi kawapa jina jipya Leo hadi napata ukakasi wa kulitamka. Amesema mnaitwa "MNYER..." United, Malizieni wenyewe mana nyie mbumbumbu mnaendana
 
Attachments

  • trimmed-000-AISHI MANULA_ GOLI LA MORRISON NILIPASWA KUMPIGIA MAKOFI NA KUMPONGEZA ( 240 X 240 ).mp4
    2.2 MB
Vipi tetesi za usajili kwa Chama langu, mabingwa wa nchi zikoje? Nawaona Utopolo FC wanahaha kusajili mapema mapema..
 
Wabongo bwana, Aisha Manula kasema ukweli juu ya ubora wa faulo ilopigwa na Morrison lakini Manara Haji amechukia na kukasirika hadi kawapa jina jipya Leo hadi napata ukakasi wa kulitamka. Amesema mnaitwa "MNYER..." United, Malizieni wenyewe mana nyie mbumbumbu mnaendana
Kama nawaona vile mnavyohaha kuhamisha magoli, baada ya majina yenu mliojipa wenyewe kutrend, utopolo FC, mabonde Kuinama, mlenda United, Mkunungu sports club, gingowazi, vyura, dah mengine mtaongezea wenyewe..
 
Back
Top Bottom