Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Wadau wa Msimbazi tujiandae kwa game ya Mwanza, nayo ni ngumu lakini kushinda ni muhimu sana

.....mechi ya leo ni muhomu kujengea heshima kwa sababu TOTO[yanga watoto au tawi la yanga mwanza]...walitusumbuwa mwaka jana hapo kirumba.....sijui wamezika mamba pale ndani!!...lakini Mungu ni mshindi!!...tutawapiga kama misri alivyompiga algeria!!!

wadau wa mwanza jiandaeni kuturushia updates..wengine tupo safarini nje ...ya nchi....tunategemea internet...!!
 
Kwa walio nje ya Nchi, huku Mnyama anaendelea Kutafuna yebo yebo mtoto yaani anakula kuku na Mayai yake

Simba 2 toto 0

Dakika ni ya 59 sasa
 
Simba timu anatisha vibaya sana, hope bado tunahitaji mechi chache sana kutangaza ubingwa msimu huu. Ningefurahi zaidi kama Simba ingemaliza ligi pasipo kupoteza game hata moja. Lile sebene la Toto jana lieendelee hivyo hivyo. Simba juuuuuuuuuuuu
 
Wekundu popote mlipo nawaombeni tubalishane mawazo na kupeana updates kuhusu chama letu.Kuna mdau katu-update hapo down kuwa unaweza kuchangia chama letu kwa kutuma ujumbe,tuma neno SIMBA kwenda namba 15556 .maelekezo zaidi utayakuta ndani ya thread. hata kandambili mnaotukubali mnaruhusiwa.gonga basi thanks hapo down kama vipi. GUD TYM.

Pakeni rangi kwanza jengo lenu ndo mje mjishaue hapa.
Jengo halina hata vyoo watu wanakunya kunya vichochoroni na kwenye korido halafu mnakuja kufungua thread....toeni upuuzo wenu huu
 
Pakeni rangi kwanza jengo lenu ndo mje mjishaue hapa.
Jengo halina hata vyoo watu wanakunya kunya vichochoroni na kwenye korido halafu mnakuja kufungua thread....toeni upuuzo wenu huu

......heheheeee....tutamwomba MANJI atupakia rangi, don't worry.....!
 
Jana Arsenal na Ghana walinihuzunisha, lakini Simba ikanifariji!

Arsenal itakuhudhunisha tu sababu haina uwezo wa kushinda club iliyopo kwenye top 3, maneno mengine andaa hudhuni na manjonzi wakikutana na CHELSEA, LIVER NA MAN U kama jana - City, Villa na Tonteham pia Ukicheki game uwe na panado pembeni in case.

Ghana mistake moja tu imewaua, anyway timu ni nzuri sana hawa vijana wamecheza safi tu, nafikiri wapo tayari World Cup 2010- Washaiva.

Simba - Hawana mpinzani tanzania kwa sasa.
 
Pakeni rangi kwanza jengo lenu ndo mje mjishaue hapa.
Jengo halina hata vyoo watu wanakunya kunya vichochoroni na kwenye korido halafu mnakuja kufungua thread....toeni upuuzo wenu huu

Na wewe kapake rangi jukwaa lenu la yanga... kama hamna basi punzika!!! soma jukwaa la arsenal
 
simba wapo juu wanaoiponda wana chuki nayo binafsi. pia nyiwe wana arsenal timu yenu mbovu haina uwezo wa kupambana na timu zinatoka kuchukua ubingwa. kwemye mbio za ubingwa jitooeni kabisa
 
Na wewe kapake rangi jukwaa lenu la yanga... kama hamna basi punzika!!! soma jukwaa la arsenal

Ingia ktk jukwaa la michezo kisha soma thread imeandikwa YANGA JANA LEO NA KESHO...YANGA DAIMA.
Hapo ndo utaijua Yanga.
Usikurupuke
 
Jana Arsenal na Ghana walinihuzunisha, lakini Simba ikanifariji!
Bra Sinka yaani kama mimi pia, yaani nilijua Ghana angenifurahisha lakini pia nikajua Man U lazima achezee kichapo uku nikiwa na uhakika wa mnyama Simba kumaliza game mapemaaaa. Lakini ni Simba pekee ndie aliyenipa amani jana.
 
kwani Simba mpaka hivi leo hajapoteza mechi, aah huyu Phiri basi atakua kocha bora sana.
 
Sahihisho: Simba haijapoteza pointi yoyote...hajatoa hata sare.
..Yawezekana Patrick Phiri na Simba wakaingia kwenye Guiness book of the World..Ngoja tupige mechi zote 22 bila droo wala kupoteza.
 
kwani Simba mpaka hivi leo hajapoteza mechi, aah huyu Phiri basi atakua kocha bora sana.
Sababu ya kutopoteza hata pointi moja, ni ushirikiana na mshikamano kutoka kila mtu anayetaka mafanikio ya timu mwaka huu...tumejipanga vizuri, tunawasikilisa wachezaji, kocha mahitaji yake yanatekelezwa na nidhamu iko hali ya juu...Kuna njama zilifanywa mwanza lakini hawakufanikiwa..tumejipanga kupingana vizuri...baadhi yetu tunainigia Bukoba kesho kuhakikisha mambo yako vizuri ili ubingwa tupewe mapema kabala ya kucheza michuano ya kimataifa mwezi wa machi..aluta continua
 
Back
Top Bottom