Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

ohh kidedea..oh kidedea tuu...mwaka huu hakuna mchezo tuu...dozi baada dozi....timu imjengwa na vifaa vyote kuanzia mbinu,saikolojia hakuna ubishi wala nini..kambini chakula ya hali ya juu...posho wanapewa kila baada ya mchezo na Patrick Phiri anawalea wachezaji kama mzazi....tukirudi mwanza ubigwa utakuwa tayari kukabidhiwa....
 
nnyama nnyama nkali, mwaka huu hakuna ntu anayeweza kutuzuia, tutafanya kuzifunga kila timu inayojifanya kujileta
 
Yeah, wadau tupo kibao humu ikiwa ni pamoja na mkulu Maxence !!
Kumbe wadau wengi sana eeh
Hapa uwanjani wapo Prof. Kapuya na Prof. Rwekaza Mukandala ni baadhi ya washabiki tu wa Msimbazi waliojazana hapa
 
Mkuu Sipo endelea kutupa matokeo na mwenendo wa mchezo kwa ujumla. Leo nimebanwa na shughuli nimeshindwa kwenda kuwaona Wekundu wa Msimbazi wakitandaza gozi. Tupe line-up pia ikiwezekana. Nilikuwa na hofu kidogo baada ya kuambiwa mastaa wengi kama Owino, Echessa, Okwi na wengine hawapo.
 
pamoja mkuu, simba unajua ina wachezaji mbadala wengi sana, sioo kama majirani wenzetu wanategemea baadhi ya wachezaji
 
Goooooooooooooooooooooooooooool

Dakika ya 57 Mgosi anaandika goli la tatu

Simba 3 Prison 0
 
Simba 3 prisons 1
goal la simba limefungwa na Mgosi
Goal la Prisons limefungwa na Misango
 
Wakuu inafurahisha sana . tunashukuru sana kwa updates. tuko pamoja wakuu.
 
65 Reactions
Reply
Back
Top Bottom