Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Simba + Yanga = MRADI WA WAHINDI sioni chakushangilia hapo
Who told you kuwa sisi tunashangilia wahindi bra gudlack, and after all kuna tatizo gani kwenye hilo? Anzisha mradi wako na wewe utushawishi tushangilie!! wabongo bana ndo maana hatusongi mbele pere pere nyingi vitendo zero
 
Bra kilimasera kuna thread kwa jina la Simba Sport Club Special ina kila kitu kuhusu mnyama, karibu kule bra najua wewe ni mmoja wa wafuasi la chama kubwa
 
Who told you kuwa sisi tunashangilia wahindi bra gudlack, and after all kuna tatizo gani kwenye hilo? Anzisha mradi wako na wewe utushawishi tushangilie!! wabongo bana ndo maana hatusongi mbele pere pere nyingi vitendo zero

Uko very right cousin!!!

Sisi tunashangilia timu na sio mradi!!! labda atuambie anataka tushangilie nini semina, warsha, mihadhara au nini sijui
 
Simba Mnataka kuchukua ubingwa wa bara kwa staili gani - manayake mnatisha. mnataka kutangaza ubingwa kwa mbwembe ambazo hatujawahi kuziona?

Duh mnanikonga roho sana - pigeni kazi wakuu - jangwani wananawa tu kula hadi masika ya tatu baba YEGUYE akirudi nyumbani.
 
Wachezaji wa timu ya Simba wameendelea kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuendeleza wimbi lake la ushindi wa mfululizo baada ya kuihukumu Prisons ya Mbeya tatu, na kuwaruhusu wahukumiwa hao kupata kamoja tu kwa kukimbia kiwanjani.

Magoli ya Simba yalifungwa na Mussa Hassan 'Mgosi' aliyefunga mabao mawili na Nico Nyagawa aliyefunga moja wakati lile la kufutia machozi la Prisons lilifungwa na mchezaji Misango Magae na hivyo, badi mwisho wa mechi, Simba 3 Prison 1. Timu hizo zilikipiga katika uwanja wa Uhuru. Timu ya Simba SC ilimaliza mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya soka Tanzania kwa kuweka rekodi ya kutokufungwa mechi yoyote. Katika mzunguko wa pili, Simba imegeuza upande wa pili wa wembe na kuendelea kunyoa vipara kila timu wanayokutana nayo.

Ingewezekana, Liverpool FC, ingekopa tuushindi tudogo tokakwa Simba walao tuwasaidie kuepa hili balaa la kichapo wanachosiribwa 'left and right' katika msimu huu wa soka la Uingereza. mwe!

Heko Simba Sports Club!

NI kweli kabisa usemayo mdau
 
hii inadhirisha maneno ya mwanangu mziray
hakuna ligi;ligi gani aiina ushindani ushindi mechi 11
asingekuwpo yanga si ingekuwa ligi ya aibuzaidi
 
hii inadhirisha maneno ya mwanangu mziray
hakuna ligi;ligi gani aiina ushindani ushindi mechi 11
asingekuwpo yanga si ingekuwa ligi ya aibuzaidi

Si kwamba ligi haina ushindani, ni kwamba wekundu wa msimbazi wamejipanga vilivyo, hata arsenal ilivyoweka record ya unbeaten 41 games Uingeleza - mbona hukusema ligi yao ilikuwa hafifu?

Sifa wape tu mkuu, wekundu wapo safi kuanzia Kocha, Wachezaji na uongozi.
 
yeah!! tukipata time tunaenda uwanjani kuipa timu sapoti angalau one day inaleta morali sana kwa wachezaji wetu
Tunapaswa kuiunga mkono kwa hari na mali..ukipata kido ichangie tumaneno Simba kwenda 15556 na kama unamapenzi ya dhati na wkundu wa simbazi kuwa mwanachama ingawa wanacherewesha..ukiona mafanikio ujue pesa imetumika hivyo kuwa mmoja wa walioleta mafanikio..
 
Mkuu thanks kwa info. nathani wadau wengi tutalisapoti chama letu manake linavpa raha.
 
:cool:
[FONT=Lucida Console said:
Simba sports club inatisha wazeiya yaani ishu ni kupeana sapoti kama kawaida ili chama liendelee kuwa juu kama Mount Kilimanjaro. Halafu ikiwezekana ile ahadi waiyoiahidi Ivory Coast itabidi tuichukue sisi yaani tukichukua tu ubingwa tunapaa na kombe letu up to Mount Kilimanjaro[/FONT].!!!!!!!!!
 
kweli inabidi tuongee na mkulu kama vipi hata sisi tukapige dinner ikulu kabla ya kuukwea mlima.
 
kweli inabidi tuongee na mkulu kama vipi hata sisi tukapige dinner ikulu kabla ya kuukwea mlima.
Ikulu ya kazi gani mkuu, si unajua mzee wa kivukoni si mtu wetu?
Hivi mtu usipokua shabiki wa Simba kuna timu nyingine ya kushabikia? :)
 
Wadau wa Msimbazi tujiandae kwa game ya Mwanza, nayo ni ngumu lakini kushinda ni muhimu sana
 
Wadau wa Msimbazi tujiandae kwa game ya Mwanza, nayo ni ngumu lakini kushinda ni muhimu sana[/QUOTE

Ushindi utapatika inshallah..tumeshafika Mwanza salama jana..leo tumewatembelea wachezaji..morali iko juu na wachezaji wametulia and wako tayari kukipiga jumapili...tusubiri watoto watupe raha...
 
Vipi matokeo mkuu tunaomba update pls

Tehe teh teh. jamaa acha kuwanga. Kwa sababu huko Australia ni jumapili basi unadhani na bongo ni jumapili? Subiri matokeo jumapili ndio mechi inapigwa labda ungeuliza matokeo ya yebo yebo.
 
Back
Top Bottom