Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Nyie mashabiki wa Simba RAGE kawaloga
 
Mpira umekwisha taifa mnyama kachezea bakora moja. Tahadhari, leo na kesho k/koo si mahali salama. Stay away.



Safiiiiiiiiiiii!! Mwenye matokeo ya wale yebo yebo atuwekee. hapa hapa!!
Ama hawajasukuma gozi leo?
 
Toto Africa Time , wafunge hao Simba goli 1-0 warudi zao msimbazi waka mfukuze rage. pole sana rage leo ndiyo hukumu yako kwani ulikuwa unafikiria mpira ni maneno na fitina? mpira ni strateges , haahhhaaaaa

we jamaa mmbayaaaaaa wewe! ulijuaje mkuu,du! we mkali kweli watabiri bado wapo akina sheikh yahya,nimekukubali mkuu
 
Back
Top Bottom