Ni aibu kwakweli: tumeanza kwa:-
1. Kushinda mfululizo
2. Drooo mfululizo
3. Na sasa ni kufungwa mfululizo
Wapi sasa tunako elekea!!!!!!
Mkuu nilishasema niko bush, nikumbushe tune ya wimbo huu wa pambio:
1. Bwana wa mabwana hapokei rushwa
2. To-to A-fri-ka ha-po-ke-i ...shwa!
Mpira unamatokeo matatu kushindam droo na kufungwa so far timu haijapotea njia ya kutetea kombe .Sasa kinachotakiwa nikuboresha timu kwa kuwatumia vijana chipukizi zaidi pia bench la ufundi lipewe uhuru na nguvu ya kupaga timuNi aibu kwakweli: tumeanza kwa:-
1. Kushinda mfululizo
2. Drooo mfululizo
3. Na sasa ni kufungwa mfululizo
Wapi sasa tunako elekea!!!!!!
Mpira umekwisha taifa mnyama kachezea bakora moja. Tahadhari, leo na kesho k/koo si mahali salama. Stay away.
matokeo vipi.simba kashindwa ngapi?
muwape hizo laki5 zao na mlipe mishahara yao ya miezi 4
Etata ejobhaaa omparamani gwango afwile hahahahaaaaaaaa, mwekundu umegeuka mweusii.
Mpira umekwisha taifa mnyama kachezea bakora moja. Tahadhari, leo na kesho k/koo si mahali salama. Stay away.
hahaha mpira wa tz ndo hivyo fitina mwisho timu nyanya huwa zinakomaa kwa timu kubwa utadhania ni fainali
0-0 alafu kitakachofuata ni kutokuingiza timu Uwanjani mpaka Rage na Benchi lake la Ufundi Wang'atukekashindwa moja.kama hukukimbia hesabu za sequence and series utagundua kuwa ilifungwa
2-0, imekuja kugongwa 1-0, mechi ijayo itakuwa 0-0.baada ya hapo nadhani watatufahamisha kanuni itakayotumika..
Kaburini.
Parapanda italia paranda x2
Wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa kumlaki Bwana ... mawinguni.