Gusa achia twende kwao
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 916
- 1,030
CAS kuna sehemu wamesema Yanga kashindwa kesi🥺.....mbona Unaleta ubwege ww mwenyeweKwani hamjapewa majibu ya walipokuwa na CAS?
Mbona ninyi Utopolo mabwege sana😎😎😎
CAS kuna sehemu wamesema Yanga kashindwa kesi🥺.....mbona Unaleta ubwege ww mwenyeweKwani hamjapewa majibu ya walipokuwa na CAS?
Mbona ninyi Utopolo mabwege sana😎😎😎
Kikubwa point 3, najisi mnaijua ninyi. Kateni rufaa CASubaya ubwege una najisi soka safi
uwanjani bila msaada wa refa hutoboi
Weka barua ya CAS nikuoneshe waliposema. Maana hamna akili ninyi itakuwa haujaelewa.CAS kuna sehemu wamesema Yanga kashindwa kesi🥺.....mbona Unaleta ubwege ww mwenyewe
nikate rufaa wakati nna kumudu nakupiga 1-5Kikubwa point 3, najisi mnaijua ninyi. Kateni rufaa CAS
nikate rufaa wakati nna kumudu nakupiga 1-5
kwani tukicheza unao uwezo wa kutufunga
Mm nioneshe barua ya TPLB iliosema hayo maana mm sijaionaWeka barua ya CAS nikuoneshe waliposema. Maana hamna akili ninyi itakuwa haujaelewa.
Hata TPBL kwenye barua yao kuutarifu umma wa wapenda soka safi kwamba wanarekebisha ratiba ya mechi zote na dabi walisema Yanga kashindwa CAS🤣🤣😂💃💃💃🤸♀🤸♀🤸♀🤸♂🤸♀🤸♂
Wasipoangalia zitaongezwa dakika 30Na leo tunalifunga toto lenu Utopolo nyie.
Refa hamalizi mpira mpaka tushinde
Refa lazima atupatie penati mpaka tufunge.
Wakigangamala lazima wale red card
Kweli akili hunanikate rufaa wakati nna kumudu nakupiga 1-5
Achana na ukosefu wa akili wewe utopolo. Barua hujaiona ilikuwepo hapa JF mkainuka kuwatukana Karia na TPBL.Mm nioneshe barua ya TPLB iliosema hayo maana mm sijaiona
Nimekuelewa Sana. UBAYA UBWELA!!Wasipoangalia zitaongezwa dakika 30
Maana tunaposema Ubaya Ubwela watu wengine hawaelewi.
Mechi zote unacheza unaangusha points kizembe mpaka unafika relegation zone halafu from nowhere mechi dhidi ya Simba unataka ujidai Barca.
Subiri kwanza kuvua pichu tuwapige bao mashoga zako kisha tunakurudia. Tuna jambo letu la kuchambua pamba hapakwani tukicheza unao uwezo wa kutufunga
Chenga tupu mkuuHivi kuna anayefuatilia hii mechi kupitia online streaming?
Yani huku upande wangu sio Azam Max wala Fawanews koke huko ni chenga tupu na hii sio mara ya kwanza
Kwani mlipeleka kesi CAS ili mpate nini ?CAS kuna sehemu wamesema Yanga kashindwa kesi🥺.....mbona Unaleta ubwege ww mwenyewe
Nikajua ni mimi peke yanguChenga tupu mkuu
Goli moja tu linatosha, haijalishi liwe la penalty au liwe limefungwa dakika ya 140Daaah kwa hali ya hewa hii na hichi kimvua goli 3 tutazipata kweli?View attachment 3327970
Mwenyewe ilikua niulize ..Maana nipo kwenye mtanziko mkubwa hapa huu ubaya ubwela unaweza kunipita kiaina tu..Hivi kuna anayefuatilia hii mechi kupitia online streaming?
Yani huku upande wangu sio Azam Max wala Fawanews koke huko ni chenga tupu na hii sio mara ya kwanza