Shida ya simba na tff ipo wapi?kiukwel shida sio simba wala tff ila kuliingiliana usimba na uyanga kwa hali ilivyokua inaonyesha tff adi simba walikua wanajua uyu mchezaji ni mtanzania ata serikali imekubali kwamba alikua na vitambulisho vyote ambavyo kama mtanzania anatakiwa awe navyo na ndio maana aliweza kucheza mbeya city kama mtanzania akacheza adi stars kama mtanzania sasa huu usajili wake maana tetesi zinasema simba na yanga ndio walikua wanaitaj sahihi yake apa sasa baada ya kusain sehem moja ndio shida ilipoanza kuanza kuchimbua asili yake ikaonekana kwel wazaz wake wameamia tz kutokea congo wakat mtoto ana miaka sita kwa sababu ya uwezo wa kuamua raia ni serikali na kwa sababu kuna ukwel kwamba akuzaliwa tz wenye mamlaka wamempa uraia sasa apo kosa la simba au tff lipo wapiShida hapa ni TFF na Simba, na issue sio timu ya taifa. Yaani TFF uko radhi kujitoa ufahamu ilimradi mchezaji aende kuisaidia Simba hata kwa kuvunjwa sheria kama ilivyokuwa kwa Morrison.