kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,319
- 12,622
- Thread starter
- #41
Club itamkatia rufaa kwa kutokuwa mchezaji hali wa Simba, amevunja kanuni za TFF ni mhalifu. Kwanini sio mchezaji halali wa Simba? Sio halali kwakuwa alidanganya uraia na kusajiliwa kama mtanzania wakati yeye sio mtz. Yaani Simba ilifaidika kwa kuwa na wachezaji 13 wa kigeni badala ya 12 ambao timu nyingine zililazimishwa kusajili.Kaka inaelekea hujui sheria za CAF kwa uhalal wa wachezaj... Ngazi ya club CAF haiangalii uraia inangalia uhalali wa mchezaj kucheza team husika kama amesajiliwa kihalal iwe ni raia wa inakotoka hiyo club ama sio raia... CAF haitajali Kibu ni raia wa wapi..
Sasa hiyo club itakayomkatia rufaa kibu inamkatia on what grounds... Kwamba sio mtanzania au? Maana pia Simba ina raia wa kigen wengi, na isitoshe kwa upande wa CAF club inasajili hadi wachezaji 40.. So iwe wamweke mtanzania au sio mtanzania bado hakuna ambapo simba itaathirika
Na kwa issue ya team ya Taifa tunaweza kuadhibiwa kwa mechi zilizopita kama kweli hakuwa mtanzania.. Ila zinazokuja hata akicheza tayari mamlaka imeshasema.ni mtanzania sasa hizo team za taifa za nje zinakataje rufaa ...
Anaepinga anatakiwa atoe vielelezo sio apinge halafu vielelezo vya ku support hayo mapingamiz atoe yule anaeshtakiwa
Nikikwambia mie naitwa XYZ ukasema sio jina langu ukaniambia jina langu ni ABC unatakuwa ww ndo uote vielelezo vya kuwa mie ni ABC sio XYZ lakin sio utake mie tena nitoe vielelezo vya kuwa mie ni ABC yaani Upinge ww kisha vielelezo vya ku support case yako nitoe mie
Pia jua kuwa kama team za nje zikipinga uraia wa Kibu wao wanatakiwa watoe vielelezo kuwa Kibu ni raia wa wapi na aliwah kuchezea team gan ya taifa au club nje ya TZ.. Sio wapinge halafu watake TZ ndo itoe vielelezo vya kusupport mapingamiz yao