Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,288
- 9,923
Ipo tofauti, kupewa uraia maana yake hakuwa raia hapo kabla sasa unapatiwa rasmi uraia wa Tanzania, kuwa declared uraia ni baada ya kuonekana kunashaka na uhalali wa Uraia wako so Taasisi husika inadeclaer kuwa wewe ni mtanzania.Kuna tofauti kati ya hayo mawili ?
Maana naona yote yana end up kuthibithisha kwamba KIBU DENIS NI MTANZANIA.
La kwanza hapo juu kama ulipewa inamaana awali haukuwa raia wa Tanzania, Mambo yote uliyafanya as kama raia wa Tanzania inakuwa Batili na ni kosa kisheria