Simba kwa huyu mgeni rasmi wa Simba Day leo, mmetuangusha sana mashabiki

Nyie ndo makolo na akili zenu mgando
Kila kitu unatanguliza siasa.. Huu ni mpira not siasa hautakiwi kubagua kama siasa mnavyofanya..

Tulia kolo
Haahaha mimi siyo mshabiki kindakindaki wa Yanga(japo ni shabiki) , lakini nimecheka sana na kuwadharau Simba kwa mgeni rasmi wao. Yaani unamwalika....
 
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu nilipopata taarifa kuwa mgeni rasmi wa siku ya leo ni mzee wa Galilaya, mnazaleti Job Ndugai, nieamua nisiende kiwanjani. Naomba mashabiki wengine wa Simba mniunge mkono kususia tukio lhili la Simba siku hii ya leo. Hivi viongozi wa Simba huwa mnawaza nini hasa? Au Ndugai amewahonga hela ili awe mgeni rasmi leo kwa manufaa yake binafsi? Mnakwama wapi lakini?

Image ya Ndugai katika taifa hili imeporomoka sana kiasi kuwa hafai hata kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya birthday. Iweje leo Simba mnamleta mtu huyu kuwa mgeni rasmi? Kusema kweli kitendo hiki kimeniuma sana na sio mimi tu, hata mashabiki wengi wa Simba watakuwa wamesikitishwa mno na kitendo hiki. Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema. Manara angekuwepo Simba hadi leo asingekubali kamwe ujinga huu kufanyika. Nasikitika kusema kwamba sitakwenda kiwanjani na wala sitafuatilia tukio hili kwenye TV. Nina kazi nyingi za kufanya siku hii ya leo. Kama nitakosa cha kufanya bora nilale usingizi.

Mlioumizwa na kitendo hiki cha Simba kumteua mgeni rasmi wa ovyo namna hii, tujuane mapema.

Nawasilisha.​
Wewe ulitaka awe nani?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kachume matembele huko ni kweli ndugai kimeo simkubali ila hawezi kuzuia mtu kwenda uwanjani
 
Mgeni kutoka Galilaya.
 
We tulia tu tuache Na Simba Day yetu
 
Huweziamini wale wale wanaompondaga kwenye siasa ndiyo hao hao sasa hivi wanamtetea kisa ni mgeni rasmi, hakika sisi Binadamu ni wanafki hata shetwani anatuogopa
kumponda kwangu Ndugai hakuzuii watu wengine kutumia heshima yake ya uspika. Hii ni michezo watu wenye akili wanaweza tofauti zao pembeni na kuipa mioyo yao kitu inataka. Usichanganye mambo kabisa.

Ukileta chuki za hivyo basi kataa kila kitu kinachohusiana na spika na bunge. Kataa mpaka huduma za jamii ambayo bajeti zake anapitisha spika na bunge. Kataa kutumia barabara ambayo bajeti zake walipitisha spika na bunge. Kama ni civil servant kataa mshahara!

Hivi unajua kama Mo ni CCM na bodi ya Simba wamejaa CCM kina Asha Baraka, Magori, Kaduguda, Try Again nk? Sasa ukileta chuki za hivyo bado una sababu za kuwa Simba Sc?
 
Shida kubwa kwake ni kwa maamuzi yake yasiyozingatia katiba na hali halisi ya wanyonge - wananchi! Kama maamuzi yanapitishwa kisha anashangaa kwa nini yalipita bungeni unadhani kuna kiongozi hapo? Lakini pia mgeni rasmi ni yule ambaye ukimuweka kwenye mizani sehemu kubwa ya jamii inamkubali iwe kisiasa au kwa mambo mengine. Sasa mashabiki wakimuona huyo wanakumbuka “tozo” na wabunge wa “COVID19”. He is a disaster!
Mwenye tatizo ni Ndugai au Wabunge wenu mliowachagua ?
Tozo alipendekeza Ndugai ?
 
Mnyama mwenzangu acha umbumbumbu, hapa issue sio Nani mgeni rasmi, michezo ni furaha. Sasa ukianza kuweka siasa hata kanisa lako utaliona Utopolo kisa Kuna watu wa itikadi tofauti na zako!

We only live once, just enjoy and keep others aside!
Exactly!
 
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu nilipopata taarifa kuwa mgeni rasmi wa siku ya leo ni mzee wa Galilaya, mnazaleti Job Ndugai, nieamua nisiende kiwanjani. Naomba mashabiki wengine wa Simba mniunge mkono kususia tukio lhili la Simba siku hii ya leo. Hivi viongozi wa Simba huwa mnawaza nini hasa? Au Ndugai amewahonga hela ili awe mgeni rasmi leo kwa manufaa yake binafsi? Mnakwama wapi lakini?

Image ya Ndugai katika taifa hili imeporomoka sana kiasi kuwa hafai hata kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya birthday. Iweje leo Simba mnamleta mtu huyu kuwa mgeni rasmi? Kusema kweli kitendo hiki kimeniuma sana na sio mimi tu, hata mashabiki wengi wa Simba watakuwa wamesikitishwa mno na kitendo hiki. Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema. Manara angekuwepo Simba hadi leo asingekubali kamwe ujinga huu kufanyika. Nasikitika kusema kwamba sitakwenda kiwanjani na wala sitafuatilia tukio hili kwenye TV. Nina kazi nyingi za kufanya siku hii ya leo. Kama nitakosa cha kufanya bora nilale usingizi.

Mlioumizwa na kitendo hiki cha Simba kumteua mgeni rasmi wa ovyo namna hii, tujuane mapema.

Nawasilisha.​
Ni kawaida yenu kuleta wageni rasmi wenye makandokando, mlishagaleta makonda mpaka akawa mshauri mkuu wenu, mara leo mnaleta ndugai, akuna asiejua makandokando ya ndugai kumleta kuwa mgeni rasmi ni kuunajisi mpira wetu na kuonyesha mnamuunga mkono kwenye yote anayofanya uko bungeni,,,endeleeni kujipaka kinyesi na nuksi
 
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu nilipopata taarifa kuwa mgeni rasmi wa siku ya leo ni mzee wa Galilaya, mnazaleti Job Ndugai, nieamua nisiende kiwanjani. Naomba mashabiki wengine wa Simba mniunge mkono kususia tukio lhili la Simba siku hii ya leo. Hivi viongozi wa Simba huwa mnawaza nini hasa? Au Ndugai amewahonga hela ili awe mgeni rasmi leo kwa manufaa yake binafsi? Mnakwama wapi lakini?

Image ya Ndugai katika taifa hili imeporomoka sana kiasi kuwa hafai hata kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya birthday. Iweje leo Simba mnamleta mtu huyu kuwa mgeni rasmi? Kusema kweli kitendo hiki kimeniuma sana na sio mimi tu, hata mashabiki wengi wa Simba watakuwa wamesikitishwa mno na kitendo hiki. Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema. Manara angekuwepo Simba hadi leo asingekubali kamwe ujinga huu kufanyika. Nasikitika kusema kwamba sitakwenda kiwanjani na wala sitafuatilia tukio hili kwenye TV. Nina kazi nyingi za kufanya siku hii ya leo. Kama nitakosa cha kufanya bora nilale usingizi.

Mlioumizwa na kitendo hiki cha Simba kumteua mgeni rasmi wa ovyo namna hii, tujuane mapema.

Nawasilisha.​
Naingia kwenye hoja moja kwa moja lakini awali ya yote naomba ku declare intest kwamba mimi ni mwanaSimba kindakindaki. Nina imani Simba Day ya leo tarehe 19/9/2021 imeandaliwa vizuri kimkakati na kimipango lakini kuna jambo moja ambalo klabu imetukusea sisi mashabiki wa ukweli wa Simba. Tangu nilipopata taarifa kuwa mgeni rasmi wa siku ya leo ni mzee wa Galilaya, mnazaleti Job Ndugai, nieamua nisiende kiwanjani. Naomba mashabiki wengine wa Simba mniunge mkono kususia tukio lhili la Simba siku hii ya leo. Hivi viongozi wa Simba huwa mnawaza nini hasa? Au Ndugai amewahonga hela ili awe mgeni rasmi leo kwa manufaa yake binafsi? Mnakwama wapi lakini?

Image ya Ndugai katika taifa hili imeporomoka sana kiasi kuwa hafai hata kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya birthday. Iweje leo Simba mnamleta mtu huyu kuwa mgeni rasmi? Kusema kweli kitendo hiki kimeniuma sana na sio mimi tu, hata mashabiki wengi wa Simba watakuwa wamesikitishwa mno na kitendo hiki. Ombwe la Manara limeanza kuonekana mapema. Manara angekuwepo Simba hadi leo asingekubali kamwe ujinga huu kufanyika. Nasikitika kusema kwamba sitakwenda kiwanjani na wala sitafuatilia tukio hili kwenye TV. Nina kazi nyingi za kufanya siku hii ya leo. Kama nitakosa cha kufanya bora nilale usingizi.

Mlioumizwa na kitendo hiki cha Simba kumteua mgeni rasmi wa ovyo namna hii, tujuane mapema.

Nawasilisha.​
Ujnga..
 
Wanasimba leo wote wapo Galilaya na nina taarifa hapa wameenda na wake zao kwa miguu kutoka Jerusalem
 
Back
Top Bottom