Uongozi wa Simba SC hizo Hela za Kuhonga Mashabiki wajaze Uwanja leo kwanini msingetumia kulipia Madeni ya Wachezaji ili morali yao ipande?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Na mlivyo wa hovyo mlidhani Cognizant "Think Tank and Adorable Angel" hili Tukio lenu mlilolifanya kwa Siri Kubwa sitolijua na kupata Taarifa yake kwa Kina?

Ukweli ni kwamba 75% ya Mashabiki wa Simba SC hasa wala hawajaenda Uwanjani au hawakuwa na Nia hiyo ya kwenda Uwanjani leo ila Nguvu yenu ya Ushawishi wa Pesa ndiyo imewafanya waende.

Nina Taarifa za uhakika kuwa Uongozi wa Simba SC uliamua Kununua Tiketi nyingi za Tsh 3,000/= kisha Kuzisambaza katika Matawi na kuandaa Magari au Mabasi ya Kubebea Mashabiki watakaokubali Kushawishika kwenda Uwanjani na kwamba kila Kiongozi wa Tawi aliyefanikisha Unafiki na Upuuzi huu alipewa Tsh kati ya Tsh 75,000/= hadi Tsh 100,000/= kama Asante.

Hata hivyo ili Kuonyesha kuwa Mashabiki wa Simba SC Wengi Wao wanajitambua na hawashikiki kwa Fedha zenu bado hawakuijaza Uwanja kwa vile mlivyotaka na mlivyotegemea.

Huwezi kuwa na ID ya Cognizant au kujiita Cognizant halafu usiwe Informed kwa Mambo au Masuala yote Mtambuka yanayoendelea katika Jamii Kubwa ya Watanzania na Taifa la Tanzania.
 
MYCINEs katika ubora ule ule.
 
Ukwamani kawe

Mwandiko kama wa Genta huu!!!

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Ni popoma katika I'd nyingine?
Wanafanana sana kwenye hand writing.
Nadhani ukiwaambia waandike halafu uchukue karatasi zao, uzifikiche halafu uwatolee uwaambie " haya kila mmoja achague karatasi yake aliyo andika" watapata shida sana kuitambua ipi na ya yupi.
 
Back
Top Bottom