Nguvu za soda hizi ndizo zikupotezee muda kwa mihemuko yote hiyo ilihali hata hatua ya robo fainali tu hujafika?

MAKOLO MAKOLO MAKOLO nimekuita mara 3 ustuke usiendelee kuwa MBUMBUMBU....
Wewe mzunguko wa kwanza umepigwa nje ndani na Rivers United Tena usiongee kabisa Bora aongee Biashara na Azam
 
Mana
Kuna nini tena jamani? Wameshinda Kombe la Dunia au? Yanga & Simba ni timu maarufu kwa butuabutua. Tanzania bado sana soccer.

FB_IMG_1644798011776.jpg
 
Back
Top Bottom