Siloam Ministry International Mbezi Beach

kwani maiti zimeonyesha masikitiko, manung'uniko, au huzuni ya namna yoyote kwa hayo wanayowatendea?!
 
Mazishi ni lini..?

Bado mnakesha kumuombea afufuke..


Mazishi ya mwili wa adamu wa pili ni J4 wao wanaiita jingine (km jumapili ya wakristo) lkn wanasema yeye amepona umauti ametwaliwa ila mwili wake uko lugalo.
 
usisahau kuwa maombi yana nguvu sana hata kuhamisha milima
anaweza kufufuka na mkabaki midomo wazi,waacheni wafanye maombi
 
Acha uongo ndugu yangu,pia usipotoshe watu kwa uongo wako wa kijinga.
 

Yani nimecheka! MAITIU ndo nini haya???
 
Huyu jamaa alidevelop kitu kinachoitwa supernatural powers, akazichanganya na Mambo ya Mungu akawa anawaendesha waumini atakavyo yeye, ukiwa na hizi nguvu unaweza kucheza na akili za binadamu kadiri utakavyo
 

Makubwa!
 
tulishajadili utapeli wa huyo "nabii feki"

sasa wazalishe mwingine, maana dini kwa sasa imekua mtaji safi sana wa kunyonya masikini na wasio werevu
 
Nashuhudia ni kweli kabisa, namjua mama mmoja sliyekuwa anakunywa dawa za kurefusha maisha akaambiwa azitupe.
She died promptly.
Roho hizo zitadsiwa toka kwa huyu mhubiri aliyepotosha watu wengi na kuwapeleka mautini kabla yz wakati wao.
 
Poleni wafiwa.ila kulikokuteseka ivo naona ni bora kumpeleka kwa Gwajima mze wa kanisa la ufufuo atamfufua but ni wazo.
 
Jaman me ninasali siloam pia bt wa2 weng wanaongea vitu wasivyovijua bt mwenye swal aniulize na ii sio dini ni kanisa jaman mtofautshe din znazofahamika ni wakristo na waislam kwa tanzania siloam ni kanisa wala c dini wala dheheb


Dini maana yake ni Imani, na Imani maana yake ni kuwa na hakika wa mambo yatarajiwayo . sasa kama nyie hamna dini inamaana hamna hakika na mambo yatarajiwayo ? Mbona sasa mnahubiri mambo ya Imani kama nyie hamna Imani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…