maishamagumutanzania
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 221
- 65
Sasa kama ni uongo kwanini umejitokeza kujibu si ungekaa kimya kama ni uongo mpuuzi mkubwa wewe
Duh, pamoja na wadhifa wako wote, bado kiinglishi kinakupiga chenga!
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.
Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na nyakarungu na mara baada ya dr slaa kufika nilikimbia.
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.
Si jambo jema na sio afya kwa taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
Sasa kama ni uongo kwanini umejitokeza kujibu si ungekaa kimya kama ni uongo mpuuzi mkubwa wewe
It is fact that there was no any attention from the people hata mimi sikumwona. Siwezi kusema hakupita cos i was busy with a conversation. Mimi huwa naongea mpaka na wabunge wa chadema mpaka baadhi ya viongoz wao wa kitaifa who is nyakarungu. To you who does not find anything to be learned out of my parth you perspetive is not universal. Jiwe walilolikataa waashi.......
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.
Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
It is fact that there was no any attention from the people hata mimi sikumwona. Siwezi kusema hakupita cos i was busy with a conversation. Mimi huwa naongea mpaka na wabunge wa chadema mpaka baadhi ya viongoz wao wa kitaifa who is nyakarungu. To you who does not find anything to be learned out of my parth you perspetive is not universal. Jiwe walilolikataa waashi.......
Ronn sijui uwezo wako wa kuelewa mambo ukoje hivyo siwezi kukujibu.
hakufa mtu kweli hapo, maana naskia wewe ukipita sehemu lazma afe mtu.Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.
We acha kujidhalilisha kwa kuandika lugha za watu usizozijua.
"It is fact that there was no any attention" ndio maana yake nini sasa?
"To you who does not find anything to be learned out of my part you perspetive is not universal"
Haya ndo madudu gani sasa?
Ndio habari za "First Class" Economist hizi?
Kama huyu ndo "First Class" huyo aliyefeli atakuwaje?

Haihusiani chochote Albert Einstein wakati anaenda Marekani alikuwa hawezi kiingereza vizuri na alikuwa anatoa hotuba na kufundisha kwa kiingereza kibovu kuliko hicho cha huyo 1st class Economist alichokiandika na Albert Einstein alikuwa ni 1st class Physicist kama ukipenda!