Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Mkuu herufi moja inaweza ikabadilisha maana ya unachoongea, mtu anaitwa Mbiro, wakati wa speech ya kampeni hapo kwenye i weka o kama hujakosa udiwani. Watanzania tunapenda kudharau vitu tunavyoita vidogo kwa wenzetu ushafeli interview.Huwezi kuwa mtangazaji wa redio au TV halafu Malaika unasema maraika, unafukuzwa kazi, sio kitu kidogo hiki mind you.

Sijui hata unachokisema ni nini?. Kwanza umefahamu kama mimi ni Mura kwa maana kwamba Mura kwenye R wanaweka L na hii ni kutokana na rafudhi zao, vivyo hivyo kwa makabila mengine.

Hata Waingereza ambao point yako unaipeleka huko huwa wanatumia S wakati Wamarekani (USA) mara nyingi wanatumia Z kwenye kiingereza.

Hata rafudhi za Waingereza wenyewe zinatofautia, kuna Cockney, Geordie, Scouse, Brummie n.k

Huyo unayemsema anaweza kukufukuza kazi kwa sababu ya rafudhi hafai hata kuwepo kwenye hiyo position kwa sababu kama angekuwa amenawa uso kwa kutembelea sehemu na nchi mbali mbali hata asingefikiria kitu kama hicho achilia mbali kuandika barua ya kukuachisha kazi.

Ni afadhari ajue kama hajui kuliko kujifanya anajua kumbe hajui.
 
Gud' well done mkuu. Nimependa sana ulivojitokeza kumjibu moja kwa moja japo mleta ile thread yeye alikuja na id.kuna ndugu yangu yangu hapa anasema kwanini na slaa hajajitokeza kuja kujibia ile tetesi kuwa peter slaa si jina lake halisi, ili tuwe tunawaelewa kama hivi. Keep it up' ushanifahamu uzuri.

Masali umekuja kumtetea Mwalimu wako eh!Mmetokota Mungu ataendelea kuwaumbua mchana kweupe......Ukizoea vya kuchinja na vyakunyonga pia uzoe.
 
mbona kauli zenu zinapingana sana Mwigulu anasema hakuonwa na Dr slaa ww unasema Dr slaa kamuona na kaja kujitafutia ujiko JF...kipi ni kipi sasa?
Si vibaya ukitamka bayana kuwa umekurupuka kujibu post yangu.
 
Mwigulu Nchemba

Kwani hata kama umemkimbia utasema kweli,aaghhg Watanganyika bana hawataki kusema ukweli umekimbia Machine unafikiri Dr Slaa ni mchezo ugopa Dr Slaaa wewe hata Kikwete mwenyewe pale anatetemeka.Mwingulu kubali tu yaishe hakuna haja ya kulumbana.
 
Last edited by a moderator:
Hukumu ya mungu yatosha na macho yake ni shuhuda kuliko wote washudiao na kuaminisha watu wajuavyo ili kufikia malengo yao.
 
Mwigulu, nape na shonza ni mwiba mkali sana kwa upinzani

Hawa watoto katika siasa, hata hawajui wanachohubiri na kukitetea, wanakidhalilisha Chama tu, hebu muulize Mzee Kingunge juu ya vijana kama hawa atakwambia wanavyokiharibu Chama ambacho kilikuwepo makini sana nyakati zile.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Ha ha ha ha ha ha ha...nadhani kuna mtu amevamia account ya Mwigulu Nchemba, yani leo umejibu kwa busara namna hii?
 
Uandishi wetu unaweza kuchanganya sana wasomaji.

Naona Mwigulu kaweka kituo badala ya kiulizo na huenda imeleta maana tofauti kabisa na alichotaka kuandika.

Hii sentensi "Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu." Nafikiri alitaka kuandika kitu kama:
"Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu; alipita bila attention ya watu?"

Kwa kusoma between the lines, mimi nahisi hiyo ndio ilikuwa maana yake.

Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
 
"Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu"

Tunaomfuatilia Mwigulu katika kauli zake huwa tunajua kuwa ni miongoni mwa binadamu waongo duniani, tena ni muongo asiyejua kuwa anadanganya.Hapo juu anasema hakumuona Slaa, na anaongeza kwamba hata Slaa hakumuona yeye (Mwigulu) kisha anamaliza kwa kusema Slaa alipita bila attention ya watu.

SWALI KUNTU ni je alijuaje kuwa Slaa alipita bila attention ya watu? Huyu ndio Mwigu Nchemba.
 
Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.

Thanks JATELO1,
Words in blue are slip of the tongue revealing an hidden agenda of this thread and how Chemba is. From blue words, we may infact conclude that Nchemba saw Dr. Slaa. We should again ask Chemba, why many people did not pay attention to Dr. Slaa?
 
Hukumu ya mungu yatosha na macho yake ni shuhuda kuliko wote washudiao na kuaminisha watu wajuavyo ili kufikia malengo yao.

mwigulu mema 100 hufutwa na baya 1 roho na nafsi yako inajua kabisa uyaandikayo na uyasemayo yatoka wapi na mungu huyu wa elia huwa ampokeshi mtu na siku zote mwongo mpe muda
 
Sijui hata unachokisema ni nini?. Kwanza umefahamu kama mimi ni Mura kwa maana kwamba Mura kwenye R wanaweka L na hii ni kutokana na rafudhi zao, vivyo hivyo kwa makabila mengine.

Hata Waingereza ambao point yako unaipeleka huko huwa wanatumia S wakati Wamarekani (USA) mara nyingi wanatumia Z kwenye kiingereza.

Hata rafudhi za Waingereza wenyewe zinatofautia, kuna Cockney, Geordie, Scouse, Brummie n.k

Huyo unayemsema anaweza kukufukuza kazi kwa sababu ya rafudhi hafai hata kuwepo kwenye hiyo position kwa sababu kama angekuwa amenawa uso kwa kutembelea sehemu na nchi mbali mbali hata asingefikiria kitu kama hicho achilia mbali kuandika barua ya kukuachisha kazi.

Ni afadhari ajue kama hajui kuliko kujifanya anajua kumbe hajui.
kama hujaelewa namaanisha nini itakuwa c shauri yangu tena.
 
Hukumu ya mungu yatosha na macho yake ni shuhuda kuliko wote washudiao na kuaminisha watu wajuavyo ili kufikia malengo yao.

Mkuu! Hukumu ya Mungu unayo isema inasemaje kuhusu kusema uongo na kufarakanisha watu? Umekuwa unasema "Nina mkanda unao onyesha viongozi wa chadema wakipanga wauwaji". Vipi kuhusu hukumu ya Mungu unayoisema kama mauwaji yalipangwa na wewe ukabaki kusema tu kwenye vyombo vya habari?!
 
Back
Top Bottom