Pamoja na utaalam wake mzito wa uchumi, kaiacha CCM iendelee kutegemea RUZUKU ya kodi zetu kujiendesha lakini bado amepanda cheo!kamloga mwenyekiti
Pamoja na utaalam wake mzito wa uchumi, kaiacha CCM iendelee kutegemea RUZUKU ya kodi zetu kujiendesha lakini bado amepanda cheo!kamloga mwenyekiti
Inasemekana ile kitambaa unayoweka shingoni kama bendera ya taifa unaiweka kuficha hirizi uliyoweka shingoni,je ni kweli?
Wewe ni MuraHizi siasa za majitaka ziko katika vyama vyote vya siasa Tanzania. Inashangaza pale watu wanaangalia kwa jicho moja wakati siasa kwa Tanzania zina uozo kifkra na kimtazamo.
Hakuna Maraika kwenye siasa za Tanzania. Vyama vyote ni wale wale.
Acha kukurupuka wewe!
Ukisoma vizuri na kwa utulivu utagundua kwamba, Mwigulu hakumuona huyo Dr. Slaa na hata kama ni kweli huyo Dr. Slaa alikuwepo hiyo sehemu basi hakupata attention yeyote kwasababu kama Dr. Slaa angepata attention ya watu, Mwigulu angemuona huyo Dr. Slaa.
Mnashindwa kuelewa vitu vidogo namna hii ndiyo maana hata huyo Dr. Slaa anawapelekesha kama misukule. Kila kitu anachokisema Dr. Slaa mnakishabikia bila hata ya kuhoji.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.
Mwigulu,
Umeifanyia nini CCM hadi ukapanda toka ukatibu wa uchumi na fedha kuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama?
It is fact that there was no any attention from the people hata mimi sikumwona. Siwezi kusema hakupita cos i was busy with a conversation. Mimi huwa naongea mpaka na wabunge wa chadema mpaka baadhi ya viongoz wao wa kitaifa who is nyakarungu. To you who does not find anything to be learned out of my parth you perspetive is not universal. Jiwe walilolikataa waashi.......
sawa tu, muuaji na mchawi huyu! Naapa nikimkuta ahera namwomba Mungu niende motoni
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama
wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu,
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.
Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
Acha kukurupuka wewe!
Ukisoma vizuri na kwa utulivu utagundua kwamba, Mwigulu hakumuona huyo Dr. Slaa na hata kama ni kweli huyo Dr. Slaa alikuwepo hiyo sehemu basi hakupata attention yeyote kwasababu kama Dr. Slaa angepata attention ya watu, Mwigulu angemuona huyo Dr. Slaa.
Mnashindwa kuelewa vitu vidogo namna hii ndiyo maana hata huyo Dr. Slaa anawapelekesha kama misukule. Kila kitu anachokisema Dr. Slaa mnakishabikia bila hata ya kuhoji.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
economist halafu tena akanyang'anywa mfuko wa chama.teh,teh,teh,teh,maiconomists wa ma.gamb.a bana!!!!!Economist,
Hapo umeeleweka bayana kabisa.
....Jiwe walilolikataa waashi.......
Mkuu sikutegemea kabisa haya uliyoandika yatoke kwako hasa katika jambo kubwa kama hli, sijui tunakoelekea ni wapi hasa kama vijana.Humu kuna vituko,sasa umkimbie kwani ana mapembe.
Ndiyo ,jamaa sio handsome kivile,hata kama anatisha(i mean muonekano)ndo kweli mtu amkimbie?
Kila thread ya mwingulu au nape lazima ujibu,nani kakuoa kati yao?Inaonekana umeolewa na mmoja wao
najua kwako hapo unaamini umetoa bonge la ufafanuzi,wakati unazidi kujichanganya kabisa..........yaani mda mwingine nakuomba usiwe unafanana kama unazo akiliIt is fact that there was no any attention from the people hata mimi sikumwona. Siwezi kusema hakupita cos i was busy with a conversation. Mimi huwa naongea mpaka na wabunge wa chadema mpaka baadhi ya viongoz wao wa kitaifa who is nyakarungu. To you who does not find anything to be learned out of my parth you perspetive is not universal. Jiwe walilolikataa waashi.......
Wewe ni Mura