Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.

Njia ya mwongo ni fupi. Mwigulu siku zote anajichanganya.Huyu ana matatizo makubwa. Fikiria mtu anayejichanganya katika para moja. Siku zote anashituka akikumbuka kuwa jina analotumia aliiba.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Kwa hiyo ww Mwigulu unahuruma sana na vijana wa CDM? Haya tuambie je gaidi mwenzako Ludo ulikuwa unamshauri nini mpaka unamtumia pay kwa mpesa? Ni kwel kuna baadhi ya vjana cdm wananjaa chondechonde achana nao unawaharibia future zao, ona sasa ludo utamsaidiaje hapo?
 
Back
Top Bottom