Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Namshukuru sana Mungu kwa kuwa Nyakarungu ni mmoja wa vibaraka wa CCM waliokuwepo ndani ya CHADEMA tuliowabaini na Mungu anazidi kuwaumbua kila kukicha. Viva CHADEMA Viva.
Na kwa wema wake Mungu, hata huko CCM yanakokwenda yanaonekana kama mabundi. Hawayataki, wameyashitukia.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
hivi aliyemwambia Nchemba kwamba kisiasa amefanikiwa ni nani?labda siasa za maji taka....jiulize,jipange Mwigulu
 
zombi hajavaa viatu

Kuna wakati JF huwa inanipa raha.Yaani jamaa hajavaa viatu.Wanaumbuka kila kukicha mwacheni Mungu aitwe Mungu.Udini ukabila umeshawatokea puani,WANAJARIBU kuwarubuni vijana njaa kali nayo inadunda.Natamani 2015 iwe kesho nione ccm ikizikwa rasmi.
 
fuatilia replies zangu kama utaona namsifia mtu,naona umedandia uzi au umekuja na ID lingine,au umelala Lumumba kusuguliwa
hivi kweli mtu apate muda wa kufuatilia replies zako ukiwa kama nani hasa????
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
mwongo wewe ccm hukutumia pesa basi ujue kuna mtu alikubeba!
 
Fearful_Man_Running_Away_100922-143665-096042.jpg


Aibu mtu mzima kumkimbia mtu mzima mwenziye!
 
Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.


quote_icon.png
By Mwigulu Nchemba
Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Huyu jamaa ni bweg e kabisa!!!!!
 
Huwa nachukizwa sana na watu wanao leta uzi humu na kisha kuukimbia ili kukwepa kujibu maswali ya wadau.Watu hawa wananisababisha niamini kwamba ni wanafiki wa hali ya juu na wanachooandika kama si unafiki, basi ni uongo uliotukuka unaokusudia kuteka makini ya watu kwa hila. Mwigulu Nchemba , wewe kama kiongozi mwandamizi cha chama chetu rudi hapa ujibu hoja za wadau ikiwa wewe ni mtu muadilifu na unasema kweli.Kadhalika tunakushauri uje na ile CD ya chadema wakipanga kufanya mauaji la sivyo tutakuelewa vizuri na sasa kupata picha halisi ya kule mnakokipeleka chama.
Mkuu tukiwa na watu kama wewe watano ndani ya ccm chama kitapona
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata Dr. Slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Aibu yako, aibu yenu milele.

Na bado huu ni mwanzo mtakimbia hadi vivuli vyenu.


MIZAMBWA
NABII MTARAJWIA!!!
 
Huwa nachukizwa sana na watu wanao leta uzi humu na kisha kuukimbia ili kukwepa kujibu maswali ya wadau.Watu hawa wananisababisha niamini kwamba ni wanafiki wa hali ya juu na wanachooandika kama si unafiki, basi ni uongo uliotukuka unaokusudia kuteka makini ya watu kwa hila. Mwigulu Nchemba , wewe kama kiongozi mwandamizi cha chama chetu rudi hapa ujibu hoja za wadau ikiwa wewe ni mtu muadilifu na unasema kweli.Kadhalika tunakushauri uje na ile CD ya chadema wakipanga kufanya mauaji la sivyo tutakuelewa vizuri na sasa kupata picha halisi ya kule mnakokipeleka chama.

POINt...

Take Five
 
Last edited by a moderator:
Unawafunza watu kuingia kwenye siasa na kufanikiwa kama wewe bila kutumia pesa?nani anatumia pesa kuingia kwenye siasa? Umesahau uliyokuwa unayafanya hapa arumeru!
 
Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.

Waache viongozi wetu bhana.................tunawajua sisi na sarakasi zao!!!!
 
Chifu(jina la enzi hizo udsm) Mwigulu Nchemba naona hapa umejichanganya hadi aibu na matokeo yake umemuuza rafiki yako Nyakarungu aka Salia. Kama hujajichanganya una matatizo na Nyakarungu na hivyo umeamua kumtosa live kiaina baada ya kugombana. Lazima moja ya kati ya hizo ni sahihi.
 
lameck kam kimbia slaa hahahahaha duh hii sikuisikia aise watu balaaaa
 
Mwigulu,mwenye akili alishajua kilichoongelewa kwenye ile thread issue ilikuwa babu kujitafutia ujiko.
Mwigulu na babu nani ana umaarufu kumzidi mwenzie? au unazungumzia umaarufu kunuka wa Mwigulu, kwa taarifa yako babu hayuko kiivo. JIPANGE
 
Mh. Mwigulu Nchemba chonde chonde mauaji yanazidi na wewe umekalia ushahidi wa wapanga mauaji kwanini?. Leta zile CD za wapanga mauaji kama huwaamini Polisisiemu wenu peleka kwa FBI basi.
 
Last edited by a moderator:
It is fact that there was no any attention from the people hata mimi sikumwona. Siwezi kusema hakupita cos i was busy with a conversation. Mimi huwa naongea mpaka na wabunge wa chadema mpaka baadhi ya viongoz wao wa kitaifa who is nyakarungu. To you who does not find anything to be learned out of my parth you perspetive is not universal. Jiwe walilolikataa waashi.......

Duh, pamoja na wadhifa wako wote, bado kiinglishi kinakupiga chenga!
 
Back
Top Bottom