Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Hukuwa na sababu ya kujibu ili kujitetea Naibu Katibu Mkuu wa CCM. Kiwewe cha nini?
 
Duh hii kali ya mwaka!yani kuna mtz anaweza kuja kuomba ushauri kwako we mwigulu?acha ku2tafutia bann
 
The same none sense us usual by the way nasikia mke wako mchaga. sasa mbona unawachukia wachaga hivyo? au walikudai mahari nyingi pole sana.
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.
Lameck Mchemba,ile habari ya Igunga kubofya manzi wa mtu ni kweli? we mbaya!
 
babu kanisa lilimshinda,ndoa ikamshinda,chama kimemshinda,urais ulimshindwa, hata hospitali ya CCBRT aliyopewa kuwa mwenyekiti wake ilimshinda akamuomba mh Rais Jakaya Kikwete amsaidie fedha zakuendesha hospitali .Nisaidie mkuu huyu babu anachoweza ni nini hasa?

Anaweza kile ambacho wewe na walioshindwa, mmeshindwa, kukishinda ili kumshinda katika ushindani wenu!
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Do, kweli wewe Kilaza bw mdogo, maelezo yako yanajikanganya yaani unaonesha hauko organized, ushindwe kwenda jimboni kule Kiomboi kwako vijana wamechoka hawana mbele wala nyuma eti unakwenda New Africa Hoteli kumshauri kada wa CDM mambo ya shule na ujasiliamali? Ndo hoja ya kuja nayo hapa JF?
 
Kwa wale wanaoijuwa Biblia naomba mnikumbushe hivi ni kina nani vile Mungu aliwagonisha lugha baada kujenga mnara wa kutaka kufika mbinguni? ndicho ninachokiona kwa Chemba la Mavi.
 
Kuna thread iliwekwa humu kuwa nilikuwa naongea na Nyakarungu na mara baada ya Dr Slaa kufika nilikimbia.

Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali.

Si jambo jema na sio afya kwa Taifa kwa vijana kuwaza fitna kila wakati.

Namshukuru sana Mungu kwa kuwa Nyakarungu ni mmoja wa vibaraka wa CCM waliokuwepo ndani ya CHADEMA tuliowabaini na Mungu anazidi kuwaumbua kila kukicha. Viva CHADEMA Viva.
 
Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.

Huyu mwigilu sijui ana akili za mnyama gani?yaani anajikanyaga sana na maneno.
 
Mwigulu,mwenye akili alishajua kilichoongelewa kwenye ile thread issue ilikuwa babu kujitafutia ujiko.

hahahahah ama kweli akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa! Dr Slaa amsingizie Mwigulu ili apate ujiko??????tena Mwigulu mtu ambaye kalelewa mtaani, mdomo umejaa matusi?reputation yake zero?kufumaniwa ndo zake, mlopokaji na msema hovyo?huyu naye mtu? tafuta kingine cha kuongea, Mtu mwenyewe anajichanganya kwenye maelezo yake wewe unaanzia wapi kumtetea, mtaacha lini mambo ya kujipendekeza???sh nz ty p.
 
Taarifa hizi kuwa nilikimbia sio za kweli na sikuwa na sababu ya kufanya hivyo. Nina ratiba zangu na uhuru wa kuongea na mtu yeyote. Ni bahati nzuri hata slaa mwenyewe sikumwona na sijui kama na yeye aliniona. Na nilikuwa njiani na kulikuwa na watu wengi tu na alipita bila attention ya watu.

Sasa kama hukumwona Dr Slaa ulijuaje kuwa alipita bila attention ya watu?
 
madelu ni dhaifu haba jipya ni wa kupuuzws......mungu amemuumbua....
 
hahahahah ama kweli akili ndogo haiwezi kutawala akili kubwa! Dr Slaa amsingizie Mwigulu ili apate ujiko??????tena Mwigulu mtu ambaye kalelewa mtaani, mdomo umejaa matusi?reputation yake zero?kufumaniwa ndo zake, mlopokaji na msema hovyo?huyu naye mtu? tafuta kingine cha kuongea, Mtu mwenyewe anajichanganya kwenye maelezo yake wewe unaanzia wapi kumtetea, mtaacha lini mambo ya kujipendekeza???sh nz ty p.
Kwa hiyo unataka kusema mtu aliewahi kufamaniwa sio mtu?
 
Humu kuna vituko,sasa umkimbie kwani ana mapembe.
Ndiyo ,jamaa sio handsome kivile,hata kama anatisha(i mean muonekano)ndo kweli mtu amkimbie?

tatizo la wa cdm kifikra wako duni kiasi cha kumuona slaa kama mu.gu
 
Aaah! Nchemba mwanangu naibu katibu mkuu wa chama chetu NDUUUUUUKI! loh! mkuu breki zilikuwepo lakini?.
 
Huwa nachukizwa sana na watu wanao leta uzi humu na kisha kuukimbia ili kukwepa kujibu maswali ya wadau.Watu hawa wananisababisha niamini kwamba ni wanafiki wa hali ya juu na wanachooandika kama si unafiki, basi ni uongo uliotukuka unaokusudia kuteka makini ya watu kwa hila. Mwigulu Nchemba , wewe kama kiongozi mwandamizi cha chama chetu rudi hapa ujibu hoja za wadau ikiwa wewe ni mtu muadilifu na unasema kweli.Kadhalika tunakushauri uje na ile CD ya chadema wakipanga kufanya mauaji la sivyo tutakuelewa vizuri na sasa kupata picha halisi ya kule mnakokipeleka chama.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu kama kituko vile yaani uongo ukifikia tamatihata ukijitahidi vipi huwezi kudangahya,ona anakubali na kukanusha,akili timamu kweli?Kwa wadhifa wake nilitegemea angeongea mambo muhimu kama watoto wetu kufeli vibaya,maji ubungo,mfumko wa bei n.k.Lkn kwa kuwa akili ndogo inaongoza akili kubwa basi anazungumzia udaku na umbea
 
Haha ha ah Mwingulu, mbona unajichanganya jambo dogo? mara hukumuona, mara alipita bila attention ya watu ndo nini sasa? Jipange kabla ya kuweka mada kwenye jukwaa. Hili linaitwa jukwaa la great thinkers!
 
Back
Top Bottom