Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

JATELO1;

Nafuu umenisaidia hata kumwuliza huyu fisadi Mwigulu Nchemba; mistari hizo kwani inaonekana kuna ukweli fulani anayoficha!


Mwigulu,
Hapo kwenye nyekundu na blue mbona zinakinzana? Nikisoma between lines naona kama ulimuona Dr. Slaa (angalia kwenye blue), ndiyo maana unasema kulikuwa na watu wengi na hata attention hakupata. Wakati huo huo unasema (kwenye nyekundu) kwamba hukumwona Dr. Slaa. Pole sana kwa kujichanganya.
 
Last edited by a moderator:
Kweli DR. Slaa anafanya watu wakose imani na raha maisha mwao. Maana haipi siku bila mtu kumtaja.
 
Mimi naongea mambo kadha wa kadha na vijana wengi tu bila kujali vyama wakitaka kujua namna ya kuingia bila fedha kwenye siasa na kufanikiwa kama ilivyotokea kwangu, wakiomba ushauri kwa mambo ya shule na ujasiliamali. .

Ina maana Nyakurungu alikutana na wewe kuomba ushauri wa kuingia kwenye siasa bila fedha? Kwanini umeamua kurukia neno 'fedha'?
 
Ni jambo la wazi kuwa siasa sio uadui lakini kwa dirty politics za ccm ya akina Mwigulu na Nape hakika lazima kutakuwa na chuki hasa pale wanaposhindwa kujibu hoja na kukimbilia matusi tena ya nguoni. Lipo jukwaa la pamoja la vyama vyenye wabunge yaani TCD ambapo ccm wapo kwa hyo kama ni maongezi yanafanyika pia huko.

Kuhusu Mwigulu kukimbia ni kweli kwa sababu kuelekea kwenye kikao walikuwepo watu wengi kutoka CDM HQ kuwahi kikao ikiwa ni pamoja na watu wa usalama wa chama.

Hoja hapa ni kuwa kulikuwa tuhuma dhidi ya mleta uzi kuwatumia baadhi ya vijana kuchafua viongozi wa chadema na si tuhuma tena maana tayari vijana hao baadhi yao wameshajiunga na chama chake baada ya failed mission. Na Nyakarungu anajulikana kwa hyo kusema mlikuwa na mambo mengine is very difficult for prudent being to take such a shit
 
Hakuna tatizo nilikuwa nauliza tu, hakuna ugomvi niliona badala ya malaika umeandika maraika

NOTED. Sishangai sana kwa sababu Watanzania tuko makini sana kuviona vitu vidogo vidogo (trivial) ambavyo havina hata maana yoyote ile.
 
mbona na wewe umo humu na kila uzi unaomgusa slaa au mbowe lazima ujibu? Shame upon you
fuatilia replies zangu kama utaona namsifia mtu,naona umedandia uzi au umekuja na ID lingine,au umelala Lumumba kusuguliwa
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Mwigulu , hiyo ndiyo CDM ! Huna ujanja , baada ya kugundulika kwamba uliwapa Viroba vijana wa Ndago ili wafanye waliyoyafanya , umefungwa king'amuzi ! Upuuzi wowote utakaofanya utaonekana tu .
 
NOTED. Sishangai sana kwa sababu Watanzania tuko makini sana kuviona vitu vidogo vidogo (trivial) ambavyo havina hata maana yoyote ile.
Mkuu herufi moja inaweza ikabadilisha maana ya unachoongea, mtu anaitwa Mbiro, wakati wa speech ya kampeni hapo kwenye i weka o kama hujakosa udiwani. Watanzania tunapenda kudharau vitu tunavyoita vidogo kwa wenzetu ushafeli interview.Huwezi kuwa mtangazaji wa redio au TV halafu Malaika unasema maraika, unafukuzwa kazi, sio kitu kidogo hiki mind you.
 
hivi Chemba linaweza kutoa ushauri kwa vijana au ni wale vijana wa Kijani kina Ngombale
 
Hauna uwezo wa kumshauri kijana yeyote mambo mazuri zaidi ya kuhamasisha vurugu na matusi. My son, who is 7yrs old, is smarter than you.Ulikuwa Mchumi mkuu wa CCM, what did you do? you prove failure, they take you to general office
 
Nyakarungu umejivua nguo kijana wangu! ktk harakati hizi muelekeo wa siasa ulivyo unategemea Nchemba akusaidie nini?

Kwanini vijana wanaharibu future zao kwa ahadi za peremende? Hivi si bora urudi kwenye taaluma yako usubiri uelekeo wa upepo na kujipanga upya hasa namna utavyosaidia wananchi?

Hawa vijana watakuwa historia muda si mrefu kibaya zaidi hawaijui CCM maana hata hao akina Nchemba na Nape wanatumika tu na soona hata wao watakuwa makapi!

Laiti mngejua yanayoendelea CCM chini ya kapeti msingesimama kimbelembele!!!!
 
Last edited by a moderator:
We utawashauri nini vija? asilimia 99.9 ya maongezi yako matusi na majungu,ushauri wako wewe ni sawa sawa kabisa na nguvu za giza na atakae kaa akusikilize wewe kwa makini basi ujue nae anataka kuwa mganga wa jadi.....
 
Mwigulu Nchemba;

Ungesema bahati mbaya hukuonana na slaa ningekuamini maelezo yako. Nyinyi wote ni viongozi kwenye nchi yetu. Kama nia yenu ni njema hakuna sababu ya kuogopana. CCM iko kwenye madaraka, cdm inafanya kazi kubwa kuwabana muwajibike, hakuna ugomvi ila faida tu kwa nchi.
 
Last edited by a moderator:
Gud' well done mkuu. Nimependa sana ulivojitokeza kumjibu moja kwa moja japo mleta ile thread yeye alikuja na id.kuna ndugu yangu yangu hapa anasema kwanini na slaa hajajitokeza kuja kujibia ile tetesi kuwa peter slaa si jina lake halisi, ili tuwe tunawaelewa kama hivi. Keep it up' ushanifahamu uzuri.
 
Mwigulu,mwenye akili alishajua kilichoongelewa kwenye ile thread issue ilikuwa babu kujitafutia ujiko.


mbona kauli zenu zinapingana sana Mwigulu anasema hakuonwa na Dr slaa ww unasema Dr slaa kamuona na kaja kujitafutia ujiko JF...kipi ni kipi sasa?
 
Nape na Nchemba wajirekebishe kuhusu kuropoka
Watatoka tu.
 
Mwigulu Nchemba

Hivi wewe muuaji inakuaje uko huru hadi leo wakati imethibitika ulikodi watu kwenda kusababisha mauaji singida???

Kuna siku roho zao zitakuja kukupigia ziara mkuu, utatembea uchi mitaa ya samora
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom