hazikwepeki lakini wengine tunazipalilia mkuu.
thanks dear nimesikia story zako tanga kule eheheeeeUmefanya uamuzi mzuri mpenzi. To be happy is a choice. Chagua kufurahi, kuwa positive na umshukuru Mungu for a tough skin. Mwaka ujao uwe wa furaha, amani, upendo na ndoto zako kukamilishwa. Kila la kheri.
Kila kitu nimefunga. hata kama namdai mfano Nyani Ngabu -mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidiSmile; nakudai sikudai?
Unanidai sikudai?
Kila kitu nimefunga. hata kama namdai mfano Nyani Ngabu -mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi
ngoja nitafute ticketi ya ratco nirudi tanga kukusomea babu
Kila kitu nimefunga. hata kama namdai mfano Nyani Ngabu -mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi
weee mkuu wacha kunikana hadharani !Arooo! UKwani unanidai? Halafu ujue hata kama unanitolea mfano kuna watu (humu) wako gullible enough kuamini kuwa kweli unanidai wakati hata kujuana hatujuani, au hata kuandikiana barua pepe hatujawahi.
nakudai ila nimekusamehe