weee mkuu wacha kunikana hadharani !
Haaaa haaaa bado hujaokoka kumbe!
walinikopesha ama walinipa bila kushurutishwa wenyewe kwa hiari zao?
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!
Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.
Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.
Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.
Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.
Naamini Mungu ni mwema atatubariki.
Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya
I alwayz pry for u Smile,thinx gonna workoutLeo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!
Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.
Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.
Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.
Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.
Naamini Mungu ni mwema atatubariki.
Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya
uliniaidi blackbery mkuu !ila sitaki tena.. niambie mabebs wa uk wanasemaje lakini..nimekumiss kweli kule, safarini tanga niliwakilisha wabeba box vizuri muulize marejesho atakupa feedback ungekuwepo na wewe ungeturusha kule mabebs wa jf !Hahahaaa, you got jokes ma. BET's Comic View ain't nothing on you.
But let the gullible knock themselves out.
Pole kwa matatizo yaliyokusibu. Jipe moyo.
nipo full upako mkuu unaitaji maombi kwani?
Niaje Supaman? Heri ya mwaka mpya bana.
uliniaidi blackbery mkuu !ila sitaki tena.. niambie mabebs wa uk wanasemaje lakini..nimekumiss kweli kule, safarini tanga niliwakilisha wabeba box vizuri muulize marejesho atakupa feedback ungekuwepo na wewe ungeturusha kule mabebs wa jf !
Mimi nilidhani MABEBS WA UKWEEEE . . . . HUWA HAWAZIKI WADAU - by Lemutuz!
Poa Mheshimiwa Jaji. Niaje?
Niwish Happy Birdhday yangu mapema. Nilizaliwa: 01-01
Happy basdei kamanda wangu.
How do you plan to ring in the new year?