Sikubali kabisa

Sikubali kabisa

Sihitaji maombi. Ila nakudai na wewe unajua kabisa ila unanipotezea! Poa. haina noma! Haaaa haaaa

Mimi nilidhani MABEBS WA UKWEEEE . . . . HUWA HAWAZIKI WADAU - by Lemutuz!
ahaaaaa hiyo kali mwambie sio kuzika tu hata wao wanakufa!
 
Nothing Much. Mpango Mzima ni kuwapa day off wakazi wote wa dunia ili waisherehekee kwa garama zao.

Kama vipi mimi nitakuwa home na MBEBS wa UKWEE my SUPER WIFE!
na yeye ni wa uk?
 
Heri ya mwaka mpya na wewe na pole kwa matatizo yaliyopita.
Nataka kukufanya U-Smile forever,Smile je nakaribisha?
 
Smile kila la kheri mwaka 2013 uwe wa amani.furaha na mafanikio

Mkuu watu8 tanga umerudi salama...., ramani inasemaje analogia tunazimia wapi na digitali tuiwashie wapi?? tunahesabu saa tu

hahaha salama mkuu na nimerudi na Roho yangu....unajua bado sijasomeka vizuri kabisa hii mitambo leo sijui izimiwe wapi ila nahisi nitakuwa chachi!
 
Naamini Mungu ni mwema atatubariki.

Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya

Bazazi anajiandaa kupombeka qa qenda mbele, Smile, Bazazi akukute wapi hata kama ni cocktail?

Bazazi
 
Last edited by a moderator:
Nakutakia heri ya mwaka mpya 2013 Smile. Mwenyezi Mungu akujalie afya njema, furaha na amani.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mpendwa Smile kwa yote yaliyokukuta mwaka huu. Usisahahu kuformat yale yote yaliyopita na kuanza kuganga yajayo...nakutakia kila la heri katika kuuanza mwaka huu mpya wa 2013 na mwenyezi Mungu akubariki sana.
 
Last edited by a moderator:
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!

Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.

Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.

Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.

Green - Amen to that.

Blue - I see, so this devil thing is just a taolorerd fiction! and hence has never planned a hing or doent plan anything!!

Red - Really? Have you decided to become a philosopher? Do we decide to be sad or happines? Do we get there by choice?
I used to think that those are just consequences.
 
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!

Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.

Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.

Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.

Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.

Naamini Mungu ni mwema atatubariki.

Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya

That's why you deserve to be Smile , I appreciate you my frnd..............
 
Last edited by a moderator:
keep on smiling Smile.... Mungu ni mwema.
Happy new year
 
Last edited by a moderator:
Happy New Year Smile na wanaMMU wote

Smile... Positivity is the attitude, and you've got it right there girl

Go Go Go.... 2013, success beyond imagination
 
Nawatakia wote heri ya mwaka mpya na baraka tele za mwaka mpya.

Smile pole kwa huzuni zote za mwaka 2012 my friend.
 
Smile awali ya yote nikutakie mwaka mpya wenye furaha na baraka kila siku.

pia naomba nikuambie kwamba """ tutegemee mema tu toka kwa Mungu??""" ukiwa na jibu hapa basi hutakaa ulie bali Bwana atakijaza kinywa chako kicheko kama asemavyo katika mithali.
 
Last edited by a moderator:
Mie naingia sina hata smile, umri unaenda mipango hata haileweki wala ctaki nijue mwaka umebadilika maana huzuni itanizidi.
 
Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.

Smile just keeping smiling into 2013 and beyond..............and be blessed.. Madeni ya kulipa chagua lakini mengine hayapaswi kulipwa kabisa..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom