hahaha salama mkuu na nimerudi na Roho yangu....unajua bado sijasomeka vizuri kabisa hii mitambo leo sijui izimiwe wapi ila nahisi nitakuwa chachi!
Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake!
Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu.
Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear.
Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December.
Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi.
Naamini Mungu ni mwema atatubariki.
Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya
Smile huo ni uamuzi mzuri sana... Mie mwenyewe nimeamua kuweka shida chini ,kutupa mikono juu na kubanjuka kwa kwenda mbele..
No more tears.....
keep on smiling......mie kwa mwaka huu unaoishia MUNGU amenitendea mengi mazuri kwakweli, nilianza mwaka kwa machozi ila nashukuru naumaliza kwa Smile....nimepata mengi yale niliyomwomba....ingawa moja bado bt naamini 2013 atanipa....tushukuru kwa yote!!!
hilo moja nshalijua , endelea kuamni katika yule awezayo yote, sema amina
Thank u.. Good spirit...Leo mwaka unaisha... Ni jambo la kumshukuru Mungu sana maana hii ni kazi yake katika uumbaji wake! Mwaka huu unaoisha tumekutana na mengi lakini yote ni mipango yake Mungu. Personaly mwaka huu unaoisha nilikutana na mengi kwaasilimia 90 ni huzuni mtupu,from feb mamangu alizidiwa hooooi nadhani from there hakuna siku sijawai kutoa machozi so you can imagine lakini pamoja na hayo yote lazima maisha yaendelee nilikuwa najitahidi kujitafutia happiness 50-50 ilikuwepo ila naona tena hizi siku mbili za mwisho inataka kudesapear. Ila, nimeamua sikubali kabisa kuingia na huzuni mwaka mpya silii tena kabisa neme-renew maisha yangu sasa hivi ni full ku-smile January to December. Kila kitu nimefunga hata kama namdai mtu nimemsamehe ila cha moto watakiona wanaonidai nitawalipa sinaga dhuluma Mungu shahidi. Naamini Mungu ni mwema atatubariki. Nawatakieni heri ya mwaka mpya wadau! Tu-smile na 2013 maisha ni haya haya