Inshallah!AlhamduliLlah sijawahi kuwa na siku mbaya, siku zote kwangu ni siku kama siku nyingine.
Imani za kichawi na kishirikina zenye kuamini kuna siku mbaya na nzuri.
Muujiza wa idadi katika Qur'an
Neno "shahr" (mwezi) limetajwa mara 12 katika Quran, kama vile idadi ya mwezi ilivyo katika mwaka.
Neno "yawm" (siku), kwa umoja, limetajwa mara 365 katika Quran, kama vile idadi ya siku katika mwaka.
Neno "ayyam" (siku), kwa wingi, limetajwa mara 30 katika Quran, kama vile idadi ya miezi ilivyo katika mwezi.
Mfano mwingine:
Neno "salawat" (sala) limetajwa mara 5 katika Quran, na idadi ya sala za kila siku lazima kwa kila Muislamu ni: A- Subh, A-Duhr, Al-Asr, Al-Maghrib, Al-Isha.
Soma zaidi: The miracle of numbers in the Quran - FUNCI - Fundación de Cultura Islámica
wenye pesa tuna maneno yetu au sioWatu wa mtandaoni wasiharibu siku yako, wengi huwa na stress za umasikini unaotokana na kukosa shughuli ya kuingiza pesa ya uhakika...
Mtu mwenye pesa huwezi kuta anapoteza muda kutukana tukana...
Dah.. [emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwanini tunasituana matumbo wakati wengine mchana umepita wima[emoji31]Nilikuwa natania mkuu, hakuna aliyenikera na sijui kama nimekera mtu though najua kuna miandiko huwa haipendwi by default.
Sometimes huenda sawia utadhani zimeambizana [emoji23]Mimi siku mbaya JF hainisumbui kama siku mbaya nje ya JF..
Kati ya hao uliowataja kuna mmoja ndio kichwa nazi hata hizo ban huwa anajitafutia mwenyewe kila wakatiMpaka sasa nishakula bann mbili
Ila kuna hawa members kama GENTAMYCIME GENTAMYCINE Mpwayungu Village FaizaFoxy ndo wanaongoza kwa siku mbaya umu jf
Mtu mwenye pesa huwezi kuta anapoteza muda kutukana tukana...[emoji419][emoji375]Watu wa mtandaoni wasiharibu siku yako, wengi huwa na stress za umasikini unaotokana na kukosa shughuli ya kuingiza pesa ya uhakika...
Mtu mwenye pesa huwezi kuta anapoteza muda kutukana tukana...
PamojaAlhamduliLlah sijawahi kuwa na siku mbaya, siku zote kwangu ni siku kama siku nyingine.
Imani za kichawi na kishirikina zenye kuamini kuna siku mbaya na nzuri.
Muujiza wa idadi katika Qur'an
Neno "shahr" (mwezi) limetajwa mara 12 katika Quran, kama vile idadi ya mwezi ilivyo katika mwaka.
Neno "yawm" (siku), kwa umoja, limetajwa mara 365 katika Quran, kama vile idadi ya siku katika mwaka.
Neno "ayyam" (siku), kwa wingi, limetajwa mara 30 katika Quran, kama vile idadi ya miezi ilivyo katika mwezi.
Mfano mwingine:
Neno "salawat" (sala) limetajwa mara 5 katika Quran, na idadi ya sala za kila siku lazima kwa kila Muislamu ni: A- Subh, A-Duhr, Al-Asr, Al-Maghrib, Al-Isha.
Soma zaidi: The miracle of numbers in the Quran - FUNCI - Fundación de Cultura Islámica
Kwani ukila ban baada ya muda GANI wanakufunguliaMpaka sasa nishakula bann mbili
Ila kuna hawa members kama GENTAMYCIME GENTAMYCINE Mpwayungu Village FaizaFoxy ndo wanaongoza kwa siku mbaya umu jf
Ndo mida yangu ya kukaa na kutulia huku Niki meditate life humu jfAisee.... Kila thread ninayo fungua kusoma First comment lazima uwe ww wa Kwanza. Vipi Mkuu itakua unakesha humu😄😄 samahan kama nakukera😆
Abusive language. Mimi ilikua ya Sikh 3. Ban inavary kutokana na uzito wa kosa ban ya pili kuna member nilimtupia lugha mbaya Medecin nyingine pia nilitumia lugha mbaya pia kwenye uzo wa jamaa mmoja hiviKwani ukila ban baada ya muda GANI wanakufungulia
Na vigezo VYA kupigwa ban ni vp??
Anhaaa kumbee Mana kuna watu selewagi naona tu bannedAbusive language. Mimi ilikua ya Sikh 3. Ban inavary kutokana na uzito wa kosa
Ni kuwavumilia tu maana ukijibizana nao unakula banYes, wamefunzwa na walimwengu hao, sio wazazi wao.
ndivyo wanavyopaswa kua
Nilishakula ban wiki nzimaKwani ukila ban baada ya muda GANI wanakufungulia
Na vigezo VYA kupigwa ban ni vp??