Siku mbaya JF

Siku mbaya JF

🤣🤣🤣🤣🤣
Nawa dedicate song la N2N “HAWATUWEZI”
Bye nyuzi za ankal Mshana hazijawahi kuniacha safe 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Namie Ndiomana niliogopa hata kuwaita ! Nisubiri tuongozane aseee mi mwenyewe damu ya kunguni staki mimi 🤠🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️🚶🏻‍♀️
 
Nashukuru Mungu sina kumbukumbu ya kujibizana na mtu vibaya tokea kijinga rasmi na Jf, ila siwezi kusema sijawahi kumkosea au kumkwaza mtu hapa jukwaani, nitumie fursa kwenye uzi huu kuomba samahani kwa wale wote niliowa kwaza au kuwakosea kwa namna yoyote.
Ila tukumbuke hatuwezi kamwe kufikia kilele cha mafanikio kama taifa chini ya ccm.
 
Hamna kuomba msamaha kizembe wee mchaga!
 
Back
Top Bottom