Siku mbaya JF

Siku mbaya JF

Binafsi nipo hapa kufurahi na kuongeza maarifa kidogo. Sitaki kuharibu mood yangu kisa mtu nisiyemfaham. Huko nyuma huenda nilikuwa nakwazika, nowadays wala... ila pale tuliwezwa sana dah🤣
Hakika!
Ndio huko kufurahi mtu anakujazia accusations kama zote nyiee!!

Ishapita acha tuendelee kuelimika kuhabarika na kuburudika tu!
 
[emoji1787] !
Kumba radhi ni uungwana sana , kwa sababu kuna siku mtu anakuwa na siku mbaya kifikra, anakutana na coment yako nayo ikachangia kufanya siku yake kuwa mbaya ! Bora kutanguliza kuomba radhi.
Hata wewe kama nimewahi kukukwaza kwa namna yoyote ile I apologize from the bottom of my heart.
Weee kumbe!!
Okay okay!
Unaonekana Una moyo mwepesi sana!
 
niliandika uzi wangu mzuri tu kuliko hauna maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote...
Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio lazima ...you need to get new information as much as possible than kushare ..
Yaani wewe unatakiwa upate madini kuliko unayoyatoa...
Wenye forum Yao kama hawataki just stay cool...
Mimi siruhusiwi kuanzisha thread miaka Sasa...
Kila nayoweka inafutwa....acha tuendeleee kutaniana kulana tu....
Nilitaka nilete feedback ya safari ya biashara za Nairobi....ila hata niliandika kusalimia tu wanaoita nayo...
Nafikiri hawataki contents muhimu...
Wanataka watu waongelee habari za kulana kulana tu
 
Wa kunipa siku mbaya humu sijamuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubishana na watu wenye sonona nikawatilia maanani tena wenye fake IDs badooooo sanaaaa
Na nilivyo jeuri wala sikuweki kwenye ignore list bali nakukaza live kwenye comments mpk upoteane [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Safi, usikubali kuwa mnyonge kwa wajinga wachache.
 
Back
Top Bottom