Siku mbaya JF

Siku mbaya JF

Sio lazima ...you need to get new information as much as possible than kushare ..
Yaani wewe unatakiwa upate madini kuliko unayoyatoa...
Wenye forum Yao kama hawataki just stay cool...
Mimi siruhusiwi kuanzisha thread miaka Sasa...
Kila nayoweka inafutwa....acha tuendeleee kutaniana kulana tu....
Nilitaka nilete feedback ya safari ya biashara za Nairobi....ila hata niliandika kusalimia tu wanaoita nayo...
Nafikiri hawataki contents muhimu...
Wanataka watu waongelee habari za kulana kulana tu
Duh.. kwamba ukiweka tu wanazilamba? Kwanini sasa? Wahoji wakupe majibu yanayoeleweka
 
Siwezi kuwa na siku mbaya jf labda mm ndio nitengeneze mwingine awe na siku mbaya, atayeingia kwenye 18 namlia tu timing akijisahau naanza kuruka nae mdogo mdogo hadi ataomba poo.

Kanuni yangu ni hii: Hear me, Fear me, Believe me
 
We miss you SELFIKA
af384317bd0ef4620c798e3cf107d176.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
niliandika uzi wangu mzuri tu tena niliplan kila nikitaka kushare nanyi humu kitu chochote ningepost humo humo kwenye thread yangu... Ilikuwa nzuri kwa kuiangalia tu KICHWA CHAKE CHA HABARI... haina maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote... Niligundua pia nilikosea kwenda kulalamikia kwa rikiboy...

nashukuru Mungu hasira zangu naziendesha fresh na mpaka sasa sijatukana mtu yeyote wala kupishana nae kimaongezi... Bhana LAKINI SIO POA KABISA...
Pole sana mkuu
 
niliandika uzi wangu mzuri tu kuliko hauna maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote...
Moderator
 
Duh.. kwamba ukiweka tu wanazilamba? Kwanini sasa? Wahoji wakupe majibu yanayoeleweka
Haikiyanani sitanii...
Nilowekaga Uzi very positive.....wakati nasafiri Kwa mara ya kwanza kwenda Nairobi...hotel za kufikia mpakani....na mikoa ya kibiashara....nikasema nikirudi nitashea na Mimi ktika huo....Uzi.
Naitafuta siuoni...
Niliandika hotel nzuri,salama kiiusalama na bei nafuu,nchi jirani ,mpakani na mikoa mbalimbali,,wakauhold sijajua kama Hadi Leo waliurudisha au lah..
Wanatatizo.....ila ukiandika Uzi WA kukulana au comments za kukulana wanazipenda sana.
Mi sijui kwanini aisee...
 
Back
Top Bottom