GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,552
Je, wale Maadui zake wapo au labda wameshakuwa Executed na waliopanga ile Mission dhidi yake?
Je, ana uhakika kuwa hakuna Mabaki ya Maadui zake waliomfanyia Tukio baya Dodoma yamebaki na kwamba huenda kwa Hasira walizonazo kwa Kumkosa basi Safari hii akirejea watahakikisha Wanamaliza Shughuli mapema ya Yeye kuwa Historia hapa duniani?
Je, idara ya Usalama / Ujasusi ndani ya Chama chake cha CHADEMA ilifanya/ imefanya Tathmini ya kutosha juu ya Usalama wake Tundu Lissu pindi akirejea rasmi Tanzania kama anavyorejea Wiki hii?
Je, Rais Samia na Mwenyekiti CCM Taifa alimkaribisha (alimwomba) Tundu Lissu arudi Nyumbani Tanzania kama Samia Suluhu Hassan tu au kama Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote nchini?
Kungekuwa na Kupigiwa Kura kuwa Tundu Lissu arejee Tanzania au abakie huko huko aliko GENTAMYCINE hata mara Mia Moja (100) ningemkatalia kurejea kutokana na sababu zangu ambazo naomba nibaki nazo tu Mwenyewe Moyoni mwangu na Rohoni kwangu pia.
Anyways karibu sana Nyumbani TL.