Tundu Lissu anahamasisha vurugu nchini kwa kuwa watoto wake Wana Uraia wa Marekani?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,292
9,721
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwaambieni kuwa Tundu Lissu anahamasisha vurugu nchini. Anatoa maneno ya kuchochea ubaguzi na kuligawa Taifa. Anachochea chuki mioyoni mwa Watanzania, kupandikiza mbegu za udini na ukanda nchini. Anamtusi Rais wetu na Taasisi ya Urais kwa kuwa kwa sasa hana cha kupoteza hapa nchini.

Hana familia hapa nchini, watoto wake wana uraia wa Marekani, hivyo hawana uchungu na Taifa letu wala hisia za utanzania. Lissu yupo tayari kuona Taifa letu likigawanyika vipande na kupasuka-pasuka kwa kuwa hana cha kupoteza, na wala hakipo cha kumgusa. Hana uzalendo na Taifa letu hata kidogo. Hata Taifa likilowa kwa damu ya Watanzania, yeye ndio furaha yake, ndio hitaji lake, ndio dhamira yake, ndio matamanio yake, ndio maombi yake, ndio mbegu iliyo katika moyo na kifua chake ambayo angependa ipandwe ,imee na kuchipua katika mioyo ya Watanzania. Kwa kuwa anafahamu kuwa yakitokea hayo anayo yahitaji, yeye atakwea ndege na kwenda Ulaya haraka sana, na kubaki kutazama kupitia TV na mipombe pembeni yake akinywa na kuangalia namna Taifa linavyoangamia huku yeye akiendelea kusambaza picha duniani, wakati Watanzania tukiteseka.

Napenda kuwaambieni na kuwakumbusheni ya kuwa Tundu Lissu hajawahi kulipenda Taifa letu wala kuwaheshimu viongozi wetu. Ni Lissu huyo huyo na mdomo wake mwaka 2014 katika Bunge maalumu la katiba alimtukana matusi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, kiongozi aliyelitumikia Taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu, kwa utumishi uliotukuka, kwa moyo wa upendo. Kiongozi anayeheshimika na kukumbukwa ulimwenguni kwote, kiongozi anayependwa na Watanzania wa dini zote na anayeendelea kuishi katika mioyo yetu. Baba yetu wa Taifa akiwa amepumzika na amelala usingizi wa milele, Lissu bila aibu, wala haya, wala adabu alimtukana matusi mbele ya macho ya Watanzania na dunia nzima kwa ujumla. Hakika hii ni laana itakayomtafuna sana Lissu, anayeonekana kuwa na matatizo kichwani mwake, na kukosa adabu kunakoonyesha kukosa malezi kutoka kwa mama na baba yake wa kumzaa.

Lissu amemtukana sana Hayati Benjamin Mkapa wakati wote wa utawala wake. Amemtukana kila aina ya tusi na udhalilishaji wa kila namna. Mzee wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Naye ametukanwa Sana na huyu lissu kila aina ya tusi na udhalilishaji wa kila Aina .hakuishia hapo, amekuja akamtukana na kumdhalilisha sana Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Alikwenda kila mahali na kumtukana sana Hayati Magufuli kwa kutumia mdomo wake huo huo. Leo tena anaendelea na uwendawazimu wake wa matusi kwa kuanza kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu na mama yetu, Mama Samia Suluhu Hassan, bila haya, wala aibu. Anamtukana kila afunguapo mdomo wake na kila asimamapo.

Ndugu zangu Watanzania, niambieni, ni Rais yupi ambaye hajaporomoshewa matusi na Lissu? Je, hiyo ndio demokrasia? Huo ndio uhuru wa kuongea? Hayo ndio tuliyoyahitaji Watanzania? Kwanini amtukane Rais wetu? Kwanini amdhalilishe Rais wetu? Kwanini Lissu ahatarishe usalama wa Taifa letu kwa kuhamasisha machafuko, vurugu, udini, ukabila, ujinsia, na ukanda? Kwanini tunamchekea akiendelea kupandikiza mbegu ya chuki kwa Watanzania?

Ndugu zangu Watanzania, hata Wanyarwanda walichinjana na kuuana sana kutokana na kufumbiwa macho kwa baadhi ya watu na vyombo vya habari vilivyokuwa vikihamasisha chuki na ubaguzi miongoni mwa Wanyarwanda. Leo Rwanda wamejifunza historia baada ya kumwaga na umwagikaji wa damu zisizo na hatia za maelfu ya wao wenyewe. Je, nasi tunataka tufike huko? Tunataka tujisahihishe baada ya kuchafua ardhi yetu kwa damu zetu? Tunataka tupeleke wapi Taifa letu?

Uhuru hauwezi ikawa kumtukana mtu. Hiyo siyo sawa, na haiwezi kuwa sawa mahali popote pale. Hiyo haikubaliki, na haiwezi kukubalika mahali popote pale penye kufuata ustaarabu wa kuheshimiana na kuheshimu utu wa watu. Taifa likiendelea na kuulea utamaduni wa namna hii, tutaelekea kubaya, na tutaliweka Taifa letu katika hali ya hatari ya kulipuka kwa machafuko wakati wowote ule, tusipochukua hatua za kisheria kuwawajibisha kisheria watu wa aina ya Lissu, ikiwepo kutowaruhusu na kuwapa vibali vya kufanya mikutano mpaka watakapo kuwa watii kwa Sheria zetu na kuheshimu utu wa watu wengine, lakini pia watanzania Ni wajibu wetu na Ni lazima tuwakemea kwa nguvu zetu zote watu wanaopandikiza chuki na kutaka kutugawa kwa misingi ya aina yoyote Ile.

Vyombo vya habari nanyo navishauri kutokubali kurusha hewani maudhui yenye kuchochea chuki na ubaguzi kwa misingi ya udini, ukabila, ukanda, na kadhalika. Vijiepusheni na kutambua dhamana kubwa vilivyobeba katika kulinda amani na utulivu wa Taifa letu. Kila mmoja wetu atambue kuwa sisi Watanzania hatuna pa kukimbilia kama ilivyo kwa akina Lissu ambao watakwenda Ulaya haraka sana. Sisi tutabaki tukiteseka na kuhangaika nchini kwetu. Katu na kamwe tusiwape akina Lissu nafasi ya kutugawa. Tuwapuuze na kuwakemea kwa nguvu zetu zote.

Kazi iendeleee. Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Napenda kuwaambieni kuwa Tundu Lissu anahamasisha vurugu nchini. Anatoa maneno ya kuchochea ubaguzi na kuligawa Taifa. Anachochea chuki mioyoni mwa Watanzania, kupandikiza mbegu za udini na ukanda nchini. Anamtusi Rais wetu na Taasisi ya Urais kwa kuwa kwa sasa hana cha kupoteza hapa nchini.

Hana familia hapa nchini, watoto wake wana uraia wa Marekani, hivyo hawana uchungu na Taifa letu wala hisia za utanzania. Lissu yupo tayari kuona Taifa letu likigawanyika vipande na kupasuka-pasuka kwa kuwa hana cha kupoteza, na wala hakipo cha kumgusa. Hana uzalendo na Taifa letu hata kidogo. Hata Taifa likilowa kwa damu ya Watanzania, yeye ndio furaha yake, ndio hitaji lake, ndio dhamira yake, ndio matamanio yake, ndio maombi yake, ndio mbegu iliyo katika moyo na kifua chake ambayo angependa iwe imee na kuchipua katika mioyo ya Watanzania. Kwa kuwa anafahamu kuwa yakitokea hayo, yeye atakwea ndege na kwenda Ulaya haraka sana, na kubaki kutazama kupitia TV na mipombe pembeni yake akinywa na kuangalia namna Taifa linavyoangamia huku yeye akiendelea kusambaza picha duniani, wakati Watanzania tukiteseka.

Napenda kuwaambieni na kuwakumbusheni ya kuwa Tundu Lissu hajawahi kulipenda Taifa letu wala kuwaheshimu viongozi wetu. Ni Lissu huyo huyo na mdomo wake mwaka 2014 katika Bunge maalumu la katiba alimtukana matusi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, kiongozi aliyelitumikia Taifa letu kwa uzalendo wa hali ya juu, kwa utumishi uliotukuka, kwa moyo wa upendo. Kiongozi anayeheshimika na kukumbukwa ulimwenguni kwote, kiongozi anayependwa na Watanzania wa dini zote, na anayeendelea kuishi katika mioyo yetu. Baba yetu wa Taifa akiwa amepumzika na amelala usingizi wa milele, Lissu bila aibu, wala haya, wala adabu alimtukana matusi mbele ya macho ya Watanzania na dunia nzima kwa ujumla. Hakika hii ni laana itakayomtafuna sana Lissu, anayeonekana kuwa na matatizo kichwani mwake, na kukosa adabu kunakoonyesha kukosa malezi ya mama na baba yake wa kumzaa.

Lissu amemtukana sana Hayati Benjamin Mkapa wakati wote wa utawala wake. Amemtukana kila aina ya tusi na udhalilishaji wa kila namna. Mzee wetu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete hakuishia hapo, amekuja akamtukana na kumdhalilisha sana Hayati Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Alikwenda kila mahali na kumtukana sana Hayati Magufuli kwa kutumia mdomo wake huo huo. Leo tena anaendelea na uwendawazimu wake wa matusi kwa kuanza kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu na mama yetu, Mama Samia Suluhu Hassan, bila haya, wala aibu. Anamtukana kila afunguapo mdomo wake, anamtukana kila asimamapo.

Ndugu zangu Watanzania, niambieni, ni Rais yupi ambaye hajaporomoshewa matusi na Lissu? Je, hiyo ndio demokrasia? Huo ndio uhuru wa kuongea? Hayo ndio tuliyoyahitaji Watanzania? Kwanini amtukane Rais wetu? Kwanini amdhalilishe Rais wetu? Kwanini Lissu ahatarishe usalama wa Taifa letu kwa kuhamasisha machafuko, vurugu, udini, ukabila, ujinsia, na ukanda? Kwanini tunamchekea akiendelea kupandikiza mbegu ya chuki kwa Watanzania?

Ndugu zangu Watanzania, hata Wanyarwanda walichinjana na kuuana sana kutokana na kufumbiwa macho na baadhi ya watu na vyombo vya habari vilivyokuwa vikihamasisha chuki na ubaguzi miongoni mwa Wanyarwanda. Leo Rwanda wamejifunza historia baada ya kumwaga na umwagikaji wa damu zisizo na hatia za maelfu ya wao wenyewe. Je, nasi tunataka tufike huko? Tunataka tujisahihishe baada ya kuchafua ardhi yetu kwa damu zetu? Tunataka tupeleke wapi Taifa letu?

Uhuru hauwezi ikawa kumtukana mtu. Hiyo siyo sawa, na haiwezi kuwa sawa mahali popote pale. Hiyo haikubaliki, na haiwezi kukubalika mahali popote pale penye kufuata ustaarabu wa kuheshimiana na kuheshimu utu wa watu. Taifa likiendelea na kuulea utamaduni wa namna hii, tutaelekea kubaya, na tutaliweka Taifa letu katika hali ya hatari ya kulipuka kwa machafuko wakati wowote ule, tusipochukua hatua za kisheria kuwawajibisha kisheria watu wa aina ya Lissu, ikiwepo kutowaruhusu na kuwapa vibali vya kufanya mikutano mpaka

Tutakapowakemea na kuwapuuza kwa nguvu zetu zote.

Vyombo vya habari nanyi navishauri kutokubali kurusha hewani maudhui yenye kuchochea chuki na ubaguzi kwa misingi ya udini, ukabila, ukanda, na kadhalika. Vijiepusheni na kutambua dhamana kubwa mnavyobeba katika kulinda amani na utulivu wa Taifa letu. Kila mmoja wetu atambue kuwa sisi Watanzania hatuna pa kukimbilia kama ilivyo kwa akina Lissu ambao watakwenda Ulaya haraka sana. Sisi tutabaki tukiteseka na kuhangaika nchini kwetu. Katu na kamwe tusiwape akina Lissu nafasi ya kutugawa. Tuwapuuze na kuwakemea kwa nguvu zetu zote.

Kazi iendeleee. Mama ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Kusema ukweli imekuwa dhambi na wewe kazi yako ni kusifia tu wewe wala huna uchungu na nchi hii endelee tu kuwa chawa ili upate zawadi ya UDC, Lissu na wewe nani mzalendo? bila shaka Tundu Lissu ana uafadhali kuliko wewe, njaa itakusumbua sana. Fanya kazi mkuu acha kujikombakomba humu JF, subiri utapigiwa simu..
 
Ndugu zangu watanzania,

Napenda kuwaambieni ya kuwa Tundu lissu anahamasisha vurugu nchini,Anatoa maneno ya kuchochea ubaguzi na kuligawa Taifa,kuchochea chuki mioyoni mwa watanzania, kupandikiza mbegu za udini na ukanda nchini,kumtusi Rais wetu na mamlaka ya Urais kwa kuwa kwa Sasa Hana Cha kupoteza hapa nchini.

Hana familia hapa nchini,watoto wake Wana Uraia wa Marekani na hivyo hawana uchungu na Taifa letu na hawana hisia za utanzania.lissu yupo Tayari kuona Taifa letu likigawanyika vipande na kupasuka pasuka kwa kuwa Hana Cha kupoteza na Wala hakipo Cha kumgusa,Hana uzalendo na Taifa letu hata kidogo,Hata Taifa likiloa kwa Damu ya watanzania yeye ndio furaha yake,ndio hitaji lake ,ndio dhamira yake,ndio matamanio yake,ndio maombi yake,ndio mbegu iliyo katika kifua chake ambayo angependa imee na kuchipua katika mioyo ya watanzania.kwa kuwa anafahamu kuwa yakitokea hayo yeye atakwea ndege na kwenda ulaya haraka Sana na kubaki kutazama kupitia TV na mipombe pembeni yake akinywa na kuangalia namna Taifa linavyoangamia huku yeye akiendelea kusambaza picha Duniani wakati watanzania tukiteseka.

Napenda kuwaambieni na kuwakumbusheni ya kuwa Tundu lissu hajawahi kulipenda Taifa letu Wala Kuwaheshimu viongozi wetu. Ni lissu huyo huyo na mdomo wake mwaka 2014 katika Bunge la katiba alimtukana matusi Hayati baba wa Taifa kiongozi aliyelitumikia Taifa letu kwa uzalendo wa Hali ya juu kwa utumishi uliotukuka,kwa moyo wa upendo, kiongozi Anayeheshimika na kukumbukwa ulimwenguni kwote, kiongozi anayependwa na watanzania wa Dini zote na anayeendelea kuishi katika mioyo yetu,. Baba yetu wa Taifa akiwa amepumzika na amelala usingizi wa Milele,lissu bila aibu Wala haya Wala adabu alimtukana matusi mbele ya macho ya watanzania na Dunia nzima kwa ujumla.Hakika hii Ni laana itakayo mtafuna Sana lissu anayeonekana kuwa na matatizo kichwani mwake na kukosa adabu kunakoonyesha kukosa malezi ya mama na baba yake wa kumzaa.

Lissu amemtukana Sana Hayati Benjamin mkapa wakati wote wa utawala wake ,amemtukana kila aina ya tusi na udhalilishaji wa kila namna mzee wetu Dr Jakaya Mrisho Kikwete,hakuishia hapo amekuja akamtukana na kumdhalilisha Sana hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli ,alikwenda kila mahali na kumtukana Sana hayati Magufuli kwa kutumia mdomo wake huo huo. Leo Tena anaendelea na uwendawazimu wake wa matusi kwa kuanza kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu na mama yetu mama Samia suluhu Hassani bila haya Wala aibu,anamtukana kila afunguapo Mdomo wake , anamtukana kila asimamapo.

Ndugu zangu watanzania niambieni Ni Rais yupi ambaye hajaporomoshewa matusi na lissu,je hiyo ndio Demokrasia? Huo ndio Uhuru wa kuongea? Hayo ndio tuliyoyahitaji watanzania? Kwanini amtukane Rais wetu? Kwanini amdhalilishe Rais wetu? Kwanini lissu ahatarishe usalama wa Taifa letu kwa kuhamasisha machafuko, vurugu,udini,ukabila,jinsia na ukanda? Kwanini tunamchekea akiendelea kupandikiza mbegu ya chuki kwa watanzania. Ndugu zangu watanzania hata wanyarwanda walichinjana na kuuana Sana kutokana na kufumbiwa macho kwa baadhi ya watu na vyombo vya habari vilivyokuwa vikihamasisha chuki na ubaguzi miongoni mwa wanyarwanda,leo Randwa wamejifunza historia kwa kumwaga Damu za maelfu kwa maelfu ya wao wenyewe.je nasi Tunataka tufike huko? Tunataka tujisahihishe baada ya kuchafua ardhi yetu kwa Damu zetu,tunataka tupeleke wapi Taifa letu?

Uhuru hauwezi ikawa kumtukana mtu ,hiyo siyo sawa na Haiwezi kuwa sawa mahali popote pale,hiyo haikubaliki na Haiwezi kukubalika mahali popote pale penye kufuata ustaarabu wa kuheshimiana na kuheshimu utu wa watu. Taifa likiendelea na kuulea utamaduni wa namna hii tutaelekea kubaya na tutaliweka Taifa letu katika hali ya hatari ya kulipuka kwa machafuko wakati wowote ule tusipochukua hatua za kisheria kuwawajibisha kisheria watu wa Aina ya lissu ikiwepo kutowaruhusi na kuwapa vinali vya kufanya mikutano mpaka watakapo kuwa na adabu na kujifunza.

Vyombo vya habari navyo navishauri kutokubali kurusha hewani maudhui yenye kuchochea chuki na ubaguzi kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda n.k.vijiepusha na kutambua dhamana kubwa vilivyobeba katika kulinda amani na utulivu wa Taifa letu.kila mmoja wetu atambue kuwa sisi watanzania hatuna pa kukimbilia Kama ilivyo kwa akina lisu ambao huenda ulaya haraka haraka .sisi tutabaki tukiteseka na kuhangaika nchini kwetu.katu na kamwe tusiwape akina lissu nafasi ya kutugawa.tuwapuuze na kuwakemea kwa nguvu zetu zote.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Serikali isimchekee sisi hatuna passport ya kwenda Ulaya,huyu ashughulikiwe kabla ya kutuharibia.
 
Fsephb4X0AIXmD7.jpg
 
Ndugu zangu watanzania,

Napenda kuwaambieni ya kuwa Tundu lissu anahamasisha vurugu nchini,Anatoa maneno ya kuchochea ubaguzi na kuligawa Taifa,kuchochea chuki mioyoni mwa watanzania, kupandikiza mbegu za udini na ukanda nchini,kumtusi Rais wetu na Taasisi ya Urais kwa kuwa kwa Sasa Hana Cha kupoteza hapa nchini.

Hana familia hapa nchini,watoto wake Wana Uraia wa Marekani na hivyo hawana uchungu na Taifa letu na hawana hisia za utanzania.lissu yupo Tayari kuona Taifa letu likigawanyika vipande na kupasuka pasuka kwa kuwa Hana Cha kupoteza na Wala hakipo Cha kumgusa,Hana uzalendo na Taifa letu hata kidogo,Hata Taifa likiloa kwa Damu ya watanzania yeye ndio furaha yake,ndio hitaji lake ,ndio dhamira yake,ndio matamanio yake,ndio maombi yake,ndio mbegu iliyo katika moyo na kifua chake ambayo angependa imee na kuchipua katika mioyo ya watanzania.kwa kuwa anafahamu kuwa yakitokea hayo yeye atakwea ndege na kwenda ulaya haraka Sana na kubaki kutazama kupitia TV na mipombe pembeni yake akinywa na kuangalia namna Taifa linavyoangamia huku yeye akiendelea kusambaza picha Duniani wakati watanzania tukiteseka.

Napenda kuwaambieni na kuwakumbusheni ya kuwa Tundu lissu hajawahi kulipenda Taifa letu Wala Kuwaheshimu viongozi wetu. Ni lissu huyo huyo na mdomo wake mwaka 2014 katika Bunge maalumu la katiba alimtukana matusi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kiongozi aliyelitumikia Taifa letu kwa uzalendo wa Hali ya juu kwa utumishi uliotukuka,kwa moyo wa upendo, kiongozi Anayeheshimika na kukumbukwa ulimwenguni kwote, kiongozi anayependwa na watanzania wa Dini zote na anayeendelea kuishi katika mioyo yetu,. Baba yetu wa Taifa akiwa amepumzika na amelala usingizi wa Milele,lissu bila aibu Wala haya Wala adabu alimtukana matusi mbele ya macho ya watanzania na Dunia nzima kwa ujumla.Hakika hii Ni laana itakayo mtafuna Sana lissu anayeonekana kuwa na matatizo kichwani mwake na kukosa adabu kunakoonyesha kukosa malezi ya mama na baba yake wa kumzaa.

Lissu amemtukana Sana Hayati Benjamin mkapa wakati wote wa utawala wake ,amemtukana kila aina ya tusi na udhalilishaji wa kila namna mzee wetu Dr Jakaya Mrisho Kikwete,hakuishia hapo amekuja akamtukana na kumdhalilisha Sana hayati Dr John Pombe Joseph Magufuli ,alikwenda kila mahali na kumtukana Sana hayati Magufuli kwa kutumia mdomo wake huo huo. Leo Tena anaendelea na uwendawazimu wake wa matusi kwa kuanza kumtukana na kumdhalilisha Rais wetu na mama yetu mama Samia suluhu Hassani bila haya Wala aibu,anamtukana kila afunguapo Mdomo wake , anamtukana kila asimamapo.

Ndugu zangu watanzania niambieni Ni Rais yupi ambaye hajaporomoshewa matusi na lissu,je hiyo ndio Demokrasia? Huo ndio Uhuru wa kuongea? Hayo ndio tuliyoyahitaji watanzania? Kwanini amtukane Rais wetu? Kwanini amdhalilishe Rais wetu? Kwanini lissu ahatarishe usalama wa Taifa letu kwa kuhamasisha machafuko, vurugu,udini,ukabila,ujinsia na ukanda? Kwanini tunamchekea akiendelea kupandikiza mbegu ya chuki kwa watanzania. Ndugu zangu watanzania hata wanyarwanda walichinjana na kuuana Sana kutokana na kufumbiwa macho kwa baadhi ya watu na vyombo vya habari vilivyokuwa vikihamasisha chuki na ubaguzi miongoni mwa wanyarwanda,leo Rwanda wamejifunza historia baada ya kumwaga na umwagikaji wa Damu zisizo na hatia za maelfu kwa maelfu ya wao wenyewe.je nasi Tunataka tufike huko? Tunataka tujisahihishe baada ya kuchafua ardhi yetu kwa Damu zetu,tunataka tupeleke wapi Taifa letu?

Uhuru hauwezi ikawa kumtukana mtu ,hiyo siyo sawa na Haiwezi kuwa sawa mahali popote pale,hiyo haikubaliki na Haiwezi kukubalika mahali popote pale penye kufuata ustaarabu wa kuheshimiana na kuheshimu utu wa watu. Taifa likiendelea na kuulea utamaduni wa namna hii tutaelekea kubaya na tutaliweka Taifa letu katika hali ya hatari ya kulipuka kwa machafuko wakati wowote ule tusipochukua hatua za kisheria kuwawajibisha kisheria watu wa Aina ya lissu,ikiwepo kutowaruhusu na kuwapa vibali vya kufanya mikutano mpaka watakapo kuwa na adabu na kujifunza.

Vyombo vya habari navyo navishauri kutokubali kurusha hewani maudhui yenye kuchochea chuki na ubaguzi kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda n.k.vijiepusha na kutambua dhamana kubwa vilivyobeba katika kulinda amani na utulivu wa Taifa letu.kila mmoja wetu atambue kuwa sisi watanzania hatuna pa kukimbilia Kama ilivyo kwa akina lisu ambao watakwenda ulaya haraka haraka sana .sisi tutabaki tukiteseka na kuhangaika nchini kwetu.katu na kamwe tusiwape akina lissu nafasi ya kutugawa.tuwapuuze na kuwakemea kwa nguvu zetu zote.

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
kama anavunja sheria mbona hafungwi?

Lissu yuko juu ya sheria?
 
Back
Top Bottom