Rafiki yangu wa kitaa akaniambia huyo demu hakikisha uuzi mechi kwani ni muathirika

Ngasere45

Senior Member
Dec 31, 2022
149
565
wakuu leo nimekaa nikakumbuka miaka flani hivi nikiwa nasoma chuo kikuu kimojawapo hapa nchini Tz

Nilianzisha mahusiano na mwanadada mmoja ambaye alikuwa hasomi chuo yeye kwa wakati huo, siku moja nikampeleka geto kwangu nikakaanaye geto kwa siku mbili, baada ya kuondoka nakumbuka nilienda kibandani kuchukua ndizi mbivu ili nije kula, nikakutana na rafiki yangu wa kitaa hapo chuo akaniambia huyo demu hakikisha uuzi mechi kwani ni muathirika


wakuu sikuwahi kupata mshtuko mkubwa kama siku hiyo, nilikaa nikasema kama ni kifo acha nife tu, ila niliamua nimuambie kwamba kwanini kaamua kuniua demu akabisha akaniambia tukapime, tukaenda kupima wote tukawa negative, wakati tunarudi tukakutana na huyo jamaa demu akaniambia jamaa alimtongoza for two years akamkatalia daah nilimuona jamaa ni boya sana
 
Nilipata libinti limoja kitaa kimzaha mzaha tu la kichaga.
Tulikutana kwa kizee mmoja anauza viepe.
Bandua sana binti kaona tusiende tena kwa yule bibi.
Ikawa sasa tunapika home mazima,
dah bibi kamind
Sasa sijui ikawaje mda mi nikamtoroka yule demu.
Nimehama na yeye kunitafuta yule bibi kamwambia jamaa alikufa na ngoma long time😅😅😅.
Aisee from nowhere nikakutana na yule mwanamke Namanga kanikimbia km kaona zombie.
Na mie nafukuzia mpk morocco kachoka.
Niache,niache anahema.
Namuuliza vipi kwani
Anasema mi nimeambiwa ulikufa.
Duh nilichoka
 
Kuna mwamba alikuwa na mke mzuri balaa. Jamaa ilikuwa akikaa kijiweni anatoa ushauri nasaha kuhusu UKIMWI akiwaambia yeye na demu wake ni waathirika lakini wanazingatia masharti.

Hii iliwapa uoga vijana kumtokea yule demu japo walikuwa wakimtamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom