ex wangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KIBUGAmk

    Mshikaji wangu anatembea na ex wangu

    Kuna mshikaji wangu anatembea na ex Wangu ambaye nimeachana nae miezi 5 iliyopita, kiukweli huyo ex simpendi lakini mshikaji wangu ananiboa sana, ina maana alikosa demu mwingine mpaka aje kutembea na mashemeji zake Naomba ushauri nimfanyeje huyu mshikaji wangu maana naona ni kama anasafiria...
  2. sky soldier

    Sijawahi kuwaamini marafiki wa kiume wa mwanamke. Aliejifanya ni rafiki wa ex wangu alikuwa ananichukia nami nilifanya maksudi kufumua mshono

    KAMA NI RAFIKI KWA NINI UWAONEE WIVU WANAUME WENZAKO WANAO DATE NAE? Ni mwaka 2016 niliweza kuwa na mahusiano na binti flani wa chuoni , sasa katika kumchunguza ndani ya siku 2 tu nikaona ana ukaribu sana na jamaa flani ila akaniambia wao ni marafiki, na kweli kwa observation yangu niliona...
  3. Choosen85

    Kilichonikuta baada ya kumtafuta ex wangu

    Wakuu mulibwanji? Huku mambo ni mwagalayoooo. Leo baada ya miaka 5 ya kuachana kwa matatzo na mtoto wa kinyiramba nimemtext leo kwa mara ya kwanza. Nilianza kwa kumtext kwamba if i made u cry am sorry akajbu kwa kuuliza we nani nikajtambulisha rasmi tukaanza kuchart akanambia ameolewa yupo...
  4. Money Penny

    Ex wangu jamani, alichonifanyia siwezi msahau...

    sasa embu niambie basi wewe mpenzi msomaji ukimkumbuka ex wako unakumbuka nini? kizuri au kibaya!
  5. FORTUNE JR

    Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wenu ili nipate kuruka kiunzi hiki mbele yangu na Maisha ya endelee kama kawaida bila kumdhuru au kumuumiza yoyote na mimi pia kua salama Wiki iliyopita nilipata taarifa Ex wang niliedumu nae takribani miaka 3 kwenye mahusiano yupo Taabani hospitali baada ya...
  6. S

    Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  7. DR SANTOS

    Ex wangu ananiwekea vijembe status

    Mimi sijui kama anawasema wengine ila Kwa situation iliyotokea kati Yake na mimi najua tu this is all about me Nachukiwa vibaya mno Chanzo ilikua tunadate ila ikaja tukapoteana tulikua tunaonana Kwa season maana alikua chuo baada ya muda kaja kusikia nimezaa na pisi ingine niliamua kumwambia tu...
  8. De Opera

    Haki ya nani X wangu atapata tabu sana na mpango wangu Februari 14

    Wakuu, plani yangu kesho ni hiyo kwa ajili ya EX wangu. 😂 Mwenye plan nyingine anipe tafadhali! ---------------👇-------------- This's for (Jokes). If you want a serious post, go and write what suits you! 🙌 Sometimes we need to be funny, so kila muda umekunja tu sura! Utakuwa na matatizo ya...
  9. Yofav

    Hadi sasa EX wangu ndo namba moja yangu

    Habari wakuu, Ni mwaka na ushee sasa toka niachane na huyu dada, Huyu dada tulianza mahusiano ya kawaida nikiwa bado sina uwezo wa kujitegemea hadi nikawa nao. Yeye alinitangulia kiumri na kimaisha pia, Kwani alinizidi miaka minne na pia wakati tunaanza mahusiano mimi nilikuwa bado tegemezi...
  10. NetMaster

    Niliwahi kuidukua simu ya ex wangu kwa kumzawadia simu niliyoidukua bila yeye kujua, Nilichokitafuta nilikipata na siwezi tena kurudia!

    Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini kisa hiki kimenikumbusha mbali sana kwamba labda mme wake katumia mbinu niliyowahi kuitumia zamani kwa...
  11. Mr sule

    Ex wangu anaona status zangu licha ya kufuta namba zake kila mahali na ku unfollow Social Media

    Habari wangu. Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp. Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
  12. Komredi1

    Ex wangu anajiuza nimejaribu kujifanya mteja alipogundua kaanza kunilaumu kuwa mimi ndio sababu

    Habari zenu wakuu. Ikumbukwe mwaka 2018 nilikuja kutoa vigezo humu vya kutaka mwenza Mke wa kuoa anahitajika Nashukuru sana maombi yalikuwa mengi na mchujo ukapia nikawapata warembo 3 ambao pasi ya wao kujuana niliiishi nao kimahusiano for 7 months mmoja nikamuengua wakabakia 2. Hawa 2...
Back
Top Bottom