Sifikiri kama ni mara ya kwanza

Halafu wanatoa povu nasikia ni wa kiume. Hii ndo kusema kuwa nao ndio wale watembeao na vioo kwenye mikoba?! ๐Ÿค”
Nimewaona nikawazoom ila niliwaona tu ni mijamaa inayotaka kuzichapa kimasihara wana take advantage
 
Kwe Uzi wako fulani uliofutwa eti wanasema wewe ni de gunner ๐Ÿคฃ, nadhani wewe hukuona zile comments maana Uzi ulifutwa.

Jamaa kweli wanataka kuichapa kimasihara, nimeshawaona.
 
Hahahaa wataje hapa walio Dai mimi ni de gunner kwa sababu binafsi sivutiwi na umbea tu๐Ÿ˜…
 
Hakuna aliye nikoseya humu kamwe hapa nilitak kujua tu Sababu
Humu nimeshagundua watu wakishaona mtu mmoja amekukosea heshima na hujamchukikia hatua kali, wengine nao wanaanza kukukosea heshima.
 
Yeah na kuna majinga yana fuata mkumbo , yenyewe lazima yawe na kiongozi wa mkumbo , hayo hata hayana umuhimu vya kuyajibu ndio maana binafsi naongea na mmiliki wa mbwa na sio mbwa
 
Wale wazee wanaongozwa na comment ya kwanza kwenye post ๐Ÿคฃ

Hawana mawazo yao binafsi.
 
Bwashee hebu tuachie pisi zetu maana zina jam na life lilivyokuwa gumu wewe unazidi kuwajaza tu sumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ