Sifikiri kama ni mara ya kwanza

min -me

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
60,539
Reaction score
175,270
Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani .

Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu๐Ÿ˜†, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili ๐Ÿค”

Mara jf kuna majamaa ni mabwabwa ,na wengine mpaka wanatajwa kwa I'd zao , mara kuna majamaa jf wanaishi kwa mashemeji , na wengine hawana lolote wameolewa .

Sasa juzi kwa hali ya utani , tena jukwaa la jokes nikatoa uzi kuwa jf hakuna pisi, hii ikawa nongwa mno na ikasindikizwa na kashfa na chuki kubwa mno na manyuzi kibao๐Ÿ˜…


Sasa hapa nashindwa kuelewa hizo emotions zote zimesababishwa na nini mpaka povu likamwagika kiasi kile ๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ