Sidhani kama ni heshima ku....

Sidhani kama ni heshima ku....

Pole chardams ndio uanaume huo brother na ndipo unapo kamili uanaume wako kwa kuwajika komando wangu. Mie nime muachia bosi amalizie kazi zake mwenyewe

Hizi ndo hasara za kuishi hapo hapo ofisi hapo hapo, mi bosi mwenyewe kaisha jiondokea eti. huaga anasema i'll be in my room still i'll will check my email in case you need anything let me know.
 
Pole kaka, mie nilisha muwakia Boss hadi ananiogopa yani, mie siku izi yani ndio kama boss, kama vipi nawe ujaribu siku moja uone ata chukua hatua gani

Attachments

  • jembe 1.jpg2.png
    jembe 1.jpg2.png
    72.6 KB · Views: 59
Pole kaka, mie nilisha muwakia Boss hadi ananiogopa yani, mie siku izi yani ndio kama boss, kama vipi nawe ujaribu siku moja uone ata chukua hatua gani
Huo ubavu huna hebu ulale inaonekan una usingizi
 
Nosim Naona siku hizi umekuwa bingwa wa kutupia like
 
Back
Top Bottom