chardams
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 2,450
- 1,753
Kwa wale mnaowaita wenzenu jembe nawashauri muache maana huu msemo kwangu nauchukulia kama tusi
Hebu jaribuni kufikiria jembe liko je au lina sifa gani.
Msikubali jamani kuitwa jembe mtu akikuita jembe pasua kichwa maana jembi kwa kawaida lina tundu ambalo mpini unaingia, Je nawewe uko hivyo?
Bila kutiwa mpini jembe haliwezi fanya kazi.
Je wale mnaokubali kuitwa jembe mna sifa kama hizo hapo juu, yaani hamfanyi kazi bila ku**wa mpini!!
Jamani msikubali kuitwa jembe narudia.