Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Mwe mwe mweeee!!!!
Nitamchuna ngozi mtu, siasa za Mbeya zinatisha
Nitamchuna ngozi mtu, siasa za Mbeya zinatisha
Siasa za mbeya ndo zilivyo, ukabila ndo msingi mkuu, hata hivyo mmesahau kuwa mtanzania ni gazeti la fisadi rostam, mnategemema liandike lolote zuri kuhusu mwandosya?
Originally Watu wa Mbeya hawana aibu, wanatumiwa na watu walio nje ya mkoa kukomoana wao wenyewe! Ujinga huu huwezi kuuona Kilimanjaro au Mwanza, ni ujinga maalum wa watu wa Mbeya! Tom Mwang'onda alichochewa na akina Lowassa kumg'oa Mpesya, akaishia yeye mwenyewe kung'oka meno pamoja na baba yake kumalizia ushushushu wake wote na fedha ya EPA kwenye uchaguzi huo!
Hujakosea kijana/mzee. Kule hatutakia ujinga hata kidogo. Muhimu kumbuka kuwa anang'olewa mtu wa Mbeya anaingia wa Mbeya. Hakuna shida kwa hilo. Umewahi kuona Mkoa gani mkuu wa Mkoa akawa wa mwenyeji wa mkoa huo huo. Iko Mbeya tu, na si Kilimanjaro wala Mwanza. Wako Makini sana kule.
Na ukileta za kuleta wanakutungua kwa mawe! We chemka tu hapa
Na ukileta za kuleta wanakutungua kwa mawe! We chemka tu hapa
KIla siku Mbeya tu, jamani si waacheni wananchi washughulikie maendeleo badala ya migogoro kila siku?
Inaelekea kuna watu wanaitumia migogoro ya Mbeya kama miradi ya kisiasa na magazeti.
HUO NI MRADI WA MWAKIPESILE NA MULLA KULA FEDHA YA EPA
Tatizo la Mkoa wa Mbeya ni ushamba na ulimbukeni wa watu wa Mbeya.
Watu wa Mbeya hawana aibu, ....
I don't buy hii kutungua watu mawe...mwisho wa siku watatunguana wenyewe kwa wenyewe.
mama, hiyo ndiyo imebakia (joke!). Maana wamevurugwa mno! I hope not!
HUO NI MRADI WA MWAKIPESILE NA MULLA KULA FEDHA YA EPA
Mimi nina taarifa kuwa hata Dk. Mwakyembe katafutiwa mtu wa kupambana naye! Mtu mwenyewe ni dereva wa malori anaitwa Elias Mwanjala!
YOTE HII NI MIRADI YA KINA MWAKIPESILE NA JANGILI MULLA KULA FEDHA YA EPA!
Mwana JF mmoja alishasum up siasa za mbeya kwa kusema:
2. Harrison Mwakyembe a frustrated intellectual turned political mercenary. Among the three "Mwas" giants from Mbeya (Mwakyembe, Mwandosya, and Mwakyusa), he is the least accomplished despite his somewhat decent schooling. Eager to play in Serie A like the other Mwas, he is up for sale, and price could be as low as the Deputy Ministerial portfolio. He surprised many who thought highly of him by presenting his Richmond report to the House without the decorum befitting his personage and reputation and by including references to Kubenea incident that did not have anything to do with a power deal he was asked to investigate.
However, he is clever enough to know that Tanzanians have such a short attention span and his 15 minutes will be over soon. One thing is clear: he will go down the way of another sensational Mbeya politician, Njelu Kasaka, who shook the nation in the 1990s and got the audacity to run for President in 1995 while his 15 minutes were up.
anayewavuruga nani?
Mtandao maslahi
Siyo kweli hoja yako ya ukabila. Jimbo hili wananchi wake wote ni Wanyakyusa. Idea yako ya ukabila inatoka wapi? Fikiria kabla ya ku-post
Mkuu yani Prof Mwandosya,Prof Mwakusya,Dr.Mwakyembe pamoja na usomi wao uliotukuka bado wanachanganywa na watu wa type ya kina Makamba,Nchimbi au RA?
What about Wasafwa, Wandali na makabila ya watu wa Mbozi, Vwawa na kwingineko? Nakubaliana na wewe kuwa tatizo siyo ukabila.
Mkuu, kwenye politics hakunaga msomi hata sik moja, Ndiyo maana Makamba, darasa la nne anashikilia mpini wa Serikali yote ya ccm. Imagine kunatokea disaster yoyote ile kwa mwenyekiti na makamu, maamuzi makubwa yote ya nchi hii (of course yako chini ya CCM) yatakuwa chini ya MAKAMBA! Unaelewa hilo!