Plase ignore this response, I thought we were discussing Mkoa rather than Jimbo.
u can even find a tribal diversity in a jimbo mkuu!
Plase ignore this response, I thought we were discussing Mkoa rather than Jimbo.
Hahahahahahaha.......naogopa ku comentWacha mimi niendelee kucheka....Kwi kwikwi
You should be one of them kuelezea hoja hii.Hizo ni spin za wanamtandao kila siku wakilala wanamuota profesa Mwandosya. Huyo Mwakipesile aliwekwa na Lowassa ili amuangamize profesa Mwandosya wakati wa kugombea NEC, lakini pamoja na kutumia vyombo vya dola na fedha za EPA/KAGODA kuwahonga wajumbe Profesa aliibuka mshindi dhidi ya Tom Mwan'gonda!! Sasa hii taarifa ya huyo kijana wa BOT kumpinga Mwandosya ni spin za wakina Rostam na wapambe wao; Lowassa amekwiasha adhirika ingawa kuna mbinu za kutaka kumrudisha hilo litakuwa kosa ambalo Kikwete atalijutia maisha yake yote!!
]Hata huo mpangilio wako siyo wa kikatiba.Kama rais hayupo majukumu yake yatafanywa na Makamu wa rais,kama nae hayupo basi ni Waziri Mkuu(spika?) Makamba hatofanya maamuzi makubwa ya nchi[/B][/COLOR].Hao ma top wa CCM walishaandika ilani ya chama 2005-2010 na jukumu la utekelezaji liko kwa serikali.
Hujaelewa Tunaongelea kichama. Na usisahau maamuzi ya chama tawala ndiyo final hata kama judge anatawala nchi. Ninadhani unahitaji katiba kujua haya mambo. Lazima ujue hilo ili uweze kuongea point hapa. Vinginevyo tutakuwa tunaongea kwenye frequencies toafauti sana.
Nasisitiza kuwa kwenye politics hakuna issues ya shule. Hii ni global phenomenon. Usije ukadhani una PhD ukachukua forms at watu watakupigia kura. Si kweli. Hizo ni politics. . Nimeweka mkazo kwenye neno politics! Ili uelewe zaidi, Kikwete anaendesha nchi kwa kutumia Ilani ya CCM.
Mwe mwe mweeee!!!!
Nitamchuna ngozi mtu, siasa za Mbeya zinatisha
Tatizo la watu wa mkoa wa mbeya hasa wanyakyusa ni selfishness; hawa ni watu wabinafsi hasa viongozi wao.Huna haja ya kwenda mbali we waangalie hao wabunge wao maprofesa ni wanafiki wala hawana msaada kwa watu wanaotoka kwao ukiwafananisha na wenzao kutoka mikoa ya ziwa na kaskazini!! ....
Msaada upi unaoongelea hapa?! KIla mtu anatakiwa ajisaidie mwenyewe.
Mkuu yani Prof Mwandosya,Prof Mwakusya,Dr.Mwakyembe pamoja na usomi wao uliotukuka bado wanachanganywa na watu wa type ya kina Makamba,Nchimbi au RA?
Tatizo la watu wa mkoa wa mbeya hasa wanyakyusa ni selfishness; hawa ni watu wabinafsi hasa viongozi wao. Huna haja ya kwenda mbali we waangalie hao wabunge wao maprofesa ni wanafiki wala hawana msaada kwa watu wanaotoka kwao........
Ndio maana Lowassa aliweza kumpandikiza Mwakipesile kuhujumu mkoa kwa ujinga huo huo.
Tatizo la watu wa mkoa wa mbeya hasa wanyakyusa ni selfishness; hawa ni watu wabinafsi hasa viongozi wao.Huna haja ya kwenda mbali we waangalie hao wabunge wao maprofesa ni wanafiki wala hawana msaada kwa watu wanaotoka kwao ukiwafananisha na wenzao kutoka mikoa ya ziwa na kaskazini!! Ndio maana Lowassa aliweza kumpandikiza Mwakipesile kuhujumu mkoa kwa ujinga huo huo. Soon it will be daybreak and their selfishness will cost them dearly. Tatizo ni kwamba wakijakushindwa mchawi wao Atasingiziwa [Mtandao] kumbe ukweli ni ujinga na ubinafsi wao.
Mwakipesile ameshindwa ubunge kwa Mwakyembe kiuhalali kabisa sasa ana sababu gani ya kuendeleza mizengwe na kumkwamisha mbunge wake asitekeleze majukumu yake kikamilifu kama siyo ubinafsi?
... Hivi sasa Mwakipesile badala ya kutumia nafasi aliyopewa/kupandikizwa kuendeleza kwao yeye ndio anakuwa kikwazo cha maendeleo ya Mkoa!! ...
....... msingekuwa na ujinga huu mgekuwa mmbali sana...
Bwana Mwakatojofu kweli wewo " Ntojofu "!! Nimefanya utafiti huko kwenu Tukuyu na nimegundua kuwa mara kwa mara nyie ni watu wa kugombana wenyewe kwa wenyewe na hiyo inaletwa na umimi . Viongozi wenu toka enzi za marehemu Kasambala walikuwa hawapatani mpaka Kasambala akaangushwa ubunge huku akiwa Waziri pekee toka huko ,kitu ambacho watu wa kaskazini wasingefanya; wao walikaa na ELIUFOO mpaka alipokufa. Hivi sasa Mwakipesile badala ya kutumia nafasi aliyopewa/kupandikizwa kuendeleza kwao yeye ndio anakuwa kikwazo cha maendeleo ya Mkoa!! sasa mambo haya yanatokea kwa sababu wanyakyusa ni 'WATOJOFU" bwana Mwakatojofu. Hii niliyokueleza ni sample ndogo tu lakini indicative; msingekuwa na ujinga huu mgekuwa mmbali sana.
hivi wala ndizi wenzetu......mbeya na ujanja wote huo hawana website!!