Nyambiza jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,030
- 1,825
Kinachofanyika ni kufufua vilivyokufa kwanza alafu tusonge mbele..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?
..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.
..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.