Siasa za Humphrey Polepole zaiponza TRC. Safari za treni Dar - Kilimanjaro zaanza kupuuzwa, Wizara ya Uchukuzi yalaumiwa

christeve88

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2018
Messages
939
Points
1,000

christeve88

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2018
939 1,000
..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?

..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.

..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
Sasa kwa mawazo kama haya hata ungeshirikishwa ungechangia nini?
 

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
6,438
Points
2,000

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
6,438 2,000
Imetekeleza ilani ya CCM

Polepole anajivunia mafanikio. Hajaenda kuzindua bali anakagua anajiridhisha na kuuambia umma kuwa huu ni ubunifu wa sera zetu CCM

Hatters will hate even themselves
Reli ajenge mwingereza na mjerumani halafu wewe uwe mbunifu? Vumbua vyako ndo tutakuheshimu. Tumepanda hiyo train kwenye 70s kwenda Korogwe tukishukia Ruvu halafu wewe unatwambia ubunifu? Sema anafufua vilivyouawa na aliyemteua Pombe. Mkapa aliua kila kitu kwa manufaa yake.
 

dolevaby

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Messages
10,198
Points
2,000

dolevaby

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2013
10,198 2,000
Wadanganyika wengi mabwege wanawaza namna hii badala yakwenda mbele Sisi tunarudi nyuma
Wacheni uzushi, inaonekana wengi bado hamjamuelewa Magufuli, treni sasa hadi Moshi, wakazi wa Kilimanjaro kunufaika pakubwa, hayo mengine hakuna mwenye haja nayo. Magufuli anafanya mambo ambayo yataandika historia ya Afrika upya.
 

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
16,532
Points
2,000

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
16,532 2,000
Polepole anajivunia na ni lazima ajivunie utekelezaji wa Ilani ya CCM

Hajafanya kosa ila hatters ndo mnakosea
Imetekeleza ilani ya CCM

Polepole anajivunia mafanikio. Hajaenda kuzindua bali anakagua anajiridhisha na kuuambia umma kuwa huu ni ubunifu wa sera zetu CCM

Hatters will hate even themselves
Hahahaha, kweli watu wanabadilika ,Msanii yule naye mjua mm wa miezi ile si huyu

Hongera, natumai wana kigamboni wananufaika na uwepo wako kule
 

mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
16,532
Points
2,000

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
16,532 2,000
Ngoja nianzishe thread ya "wale tutakaopanda treni kendra Moshi tukutane hapa" then nione kama itakosa wachangiaji.
Hahahaha, binafsi napenda treni kwa ajiri ya kula bata tu , huwa nikifika Zambia napanda treni ya Tazara ,
Safari na bata mwanzo mwisho
 

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
10,558
Points
2,000

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
10,558 2,000
Imetekeleza ilani ya CCM

Polepole anajivunia mafanikio. Hajaenda kuzindua bali anakagua anajiridhisha na kuuambia umma kuwa huu ni ubunifu wa sera zetu CCM

Hatters will hate even themselves
Ubunifu?

Nani aliharibu na kuuwa reli hii? CCM

Aliadhibiwa lini na wapi? CCM
 

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
17,014
Points
2,000

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
17,014 2,000
Naona kila kinachofanywa na JPM mnaona hakifai. Akijenga barabara mtasema ajenge hospitali
..nyinyi kazi yenu ni kusifia kila kitu, hata penye makosa ya wazi.

..tunapaswa kuwa wakweli.

..reli ambazo zinaweza kutuletea faida ni reli ya kati na tazara.

..na faida hiyo inatokana na kuhudumia bandari na mizigo inayokwenda na kutoka nchi jirani.

..Kilimanjaro hitaji lao kubwa ni barabara za vijijini. Reli siyo kipaumbele chao.
 

naiman64

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Messages
4,960
Points
2,000

naiman64

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2013
4,960 2,000
Binadamu hatuna jema kwa kweli, siamini kama itakosa abiria
..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?

..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.

..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
 

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Messages
1,735
Points
2,000

drilling

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2016
1,735 2,000
Wachagga kazi ipo . huwa ikifika december usafiri wa mabasi ubongo huwa ni washida sana hasa karibu na krismass bei za mabasi yanapanda hata hivyo watu wanakosa usafiri mpaka daladala kubwa huruhusiwa kubeba abiria kuwapeleka moshi. Pia haitoshi watu hukaa stendi ya ubongo na kukosa usafiri na kila mwaka wanalalamika usafiri shida.

Leo Mh. Rais kaazisha usafiri wa treni kwenda moshi ambayo itapunguza matatizo ya abiria na mizigo. Lakini wachagga bado wanalalamika wanasema hawapandi hiyo ni siasa kaleta makufuli. Makonda aliwasema ni kweli kabisa.

Mimi nawafananisha wachagga na enzi za nabii mussa alipokwenda kuwaokoa kutoka kwa farao kwa ajili ya mateso walipokuwa njiani wanaondoka wakamwa mbia nabii mussa tuna njaa tutapata wapi chakula nabii mussa akamuomba mungu chakula kikawa kinakuja kutoka mbinguni kila siku wanakula chakula fresh.

Mwisho wa siku wakambwambia nabii mussa tumechoka na chakula chako
 

Forum statistics

Threads 1,365,407
Members 521,202
Posts 33,345,575
Top