Siasa za Humphrey Polepole zaiponza TRC. Safari za treni Dar - Kilimanjaro zaanza kupuuzwa, Wizara ya Uchukuzi yalaumiwa

Kitendo cha Polepole kutumia mali ya umma ili kutafuta umaarufu kwa chama chake kilichochoka cha CCM kimewatafakarisha baadhi ya wadau wa usafiri, ambao wameweka msimamo wa kutokutumia usafiri huo abadani.

Polepole si kiongozi wa serikali wala si Ofisa wa Shirika la reli ama wizara husika, haifahamiki alikopata kiherehere cha kuingilia mipango isiyomhusu na kujichomeka kwenye kinachoitwa uzinduzi wa safari za treni Kilimanjaro - Dar, Watanzania si wajinga kiasi hicho.

Wizara ya Uchukuzi na Shirika la Reli msitumike kishamba namna hii, sasa kwa taarifa yenu wadau hawatatumia huo usafiri wenu wa kisiasa. Wameapa kuendelea kutumia Ngorika, Dar Express, Kidia one, Kilimanjaro na Sai Baba.

Sasa siku mkianza kutukanwa hadharani kwa kuchelewesha gawio msimlilie mtu, mfuateni Polepole awasaidie.
Dah...wamiliki wa mabasi waliokuwa wanapandisha nauli kiholela vima yanagonga pichu
 
Kweli pole pole kachemka ilani ya chadema inatekelezwa yeye analeta kiherehere cha ccm , akome kabisa kuingilia utekelezaji wa ilani ya chadema :p
 
Dah...wamiliki wa mabasi waliokuwa wanapandisha nauli kiholela vima yanagonga pichu
Ni kweli mimi ni Tajiri , lakini sifanyi biashara ya mabasi makubwa ya abiria wa mikoa , nina vidaladala na vicoaster kadhaa vya kubeba " viroba " unavijua viroba ?
 
Kitendo cha Polepole kutumia mali ya umma ili kutafuta umaarufu kwa chama chake kilichochoka cha CCM kimewatafakarisha baadhi ya wadau wa usafiri, ambao wameweka msimamo wa kutokutumia usafiri huo abadani.

Polepole si kiongozi wa serikali wala si Ofisa wa Shirika la reli ama wizara husika, haifahamiki alikopata kiherehere cha kuingilia mipango isiyomhusu na kujichomeka kwenye kinachoitwa uzinduzi wa safari za treni Kilimanjaro - Dar, Watanzania si wajinga kiasi hicho.

Wizara ya Uchukuzi na Shirika la Reli msitumike kishamba namna hii, sasa kwa taarifa yenu wadau hawatatumia huo usafiri wenu wa kisiasa. Wameapa kuendelea kutumia Ngorika, Dar Express, Kidia one, Kilimanjaro na Sai Baba.

Sasa siku mkianza kutukanwa hadharani kwa kuchelewesha gawio msimlilie mtu, mfuateni Polepole awasaidie.
Mkuu umechukua maoni ya watu wangapi au ww na familia yako tuu
 
Polepole anajivunia na ni lazima ajivunie utekelezaji wa Ilani ya CCM

Hajafanya kosa ila haters ndio mnakosea
Muwe mnajua kunadi biashara basi. Kuna watu ukiwaweka kutangaza biashara hata kama ni nzuri kiasi gani unakuwa umeiua. Polepole si wa kutangaza biashara inayotakiwa kutumiwa na Umma labda iwe ya chama chake. Ni mtu anayedharaulika nchini kwa sasa kuliko Dr. Shika.
 
Chaguo la kupanda train au kuacha hilo litabaki la abiria kutokana na sababu zao za kiuchumi, access ya usafiri mwingine au sababu zingine zozote zenye manufaa (inaweza kuwa ata mizigo anayobeba).

Kwa ivyo hiyo train angejenga mtu yeyote au kunadiwa na mtu yoyote kutokana na uwezo wa mfuko wa mtanzania wa kawaida na bei ya nauli itapata tu abiria wa kutosha kwenye vituo vyote itakayosimama.

Hila CCM propaganda imewashinda wao siku hizi hata maiti za watu maarufu wanakimbilia jeneza tells you kwamba ubunifu Lumumba kwa sasa hakuna tena.
Sawa lakini kama speed ni 40km/hr ile ile ya zamani bora Ngorika na Buffalo kama bado ipo
 
Muwe mnajua kunadi biashara basi. Kuna watu ukiwaweka kutangaza biashara hata kama ni nzuri kiasi gani unakuwa umeiua. Polepole si wa kutangaza biashara inayotakiwa kutumiwa na Umma labda iwe ya chama chake. Ni mtu anayedharaulika nchini kwa sasa kuliko Dr. Shika.
😆😆😆😆 Hivi Dr Shika yupo ?
 
Subiri ianze kazi halafu ndio uje hapa na porojo zenu za sakosi ya mbowe sio kila kitu mnapinga mnapinga hadi vitu vyenye manufaa kWa jamii.
 
Sawa lakini kama speed ni 40km/hr ile ile ya zamani bora Ngorika na Buffalo kama bado ipo
Kipindi hiki cha kwenda kuhesabiwa huko milimani ata mwendo ungekuwa 30km/hr kuna abiria wengi sana wataona hiyo train mkombozi.
 
Hayo ni maneno yako.

Utafiti huo umefanyika lini na sampling ipi ilitumika kupima hilo?

Muwe mnajua kunadi biashara basi. Kuna watu ukiwaweka kutangaza biashara hata kama ni nzuri kiasi gani unakuwa umeiua. Polepole si wa kutangaza biashara inayotakiwa kutumiwa na Umma labda iwe ya chama chake. Ni mtu anayedharaulika nchini kwa sasa kuliko Dr. Shika.
 
Subiri si December imefika? Ya nini kuandikia mate?
Wacheni uzushi, inaonekana wengi bado hamjamuelewa Magufuli, treni sasa hadi Moshi, wakazi wa Kilimanjaro kunufaika pakubwa, hayo mengine hakuna mwenye haja nayo. Magufuli anafanya mambo ambayo yataandika historia ya Afrika upya.
 
Polepole anajivunia na ni lazima ajivunie utekelezaji wa Ilani ya CCM

Hajafanya kosa ila haters ndio mnakosea
Hiyo reli 25 yrs ago ilikuwepo, tena safi kabisa!! Je walioua ni Chadema au Cuf? Acheni ufala...
 
Mkuu;
Wewe unaishi kwenye viunga vya nchi za nje mpaka unaelekea kuzeekea huko bila kurudi Tanzania utajua hali ya maisha ya wananchi hasa wa kipato cha chini nchini!

Halafu tatizo lako unaangalia upande wa abiria pekee badala ya kuangalia usafirishaji wa mizigo ambao ndio muhimu zaidi.

Nina uhakika treni hii itapata abiria wengi na mizigo mingi sana!

Wasiwasi wangu ni kwa baadhi ya wafanyakazi wa sekta ya usafiri wa mabasi kukosa kazi baada ya wateja wao kuhamia kwenye usafiri wa treni.
Anayosema ni sahihi kuliko wewe unayedai uko nchini... Kama hiyo reli ni muhimu hivyo kama unavyodai kwa nini ilihujumiwa na hao hao CCM for 25 years?? Hivi unadhani hatuyajui hayo?? Hiyo miaka yote 25 mliyoihujumu hiyo reli kuna kitu kimepungua au kukosekana huko Moshi na Arusha??
 
Tuondoleeni ujuha wenu mbona ndege zilizopokelewa na ccm mnazipanda sasa ole wenu mgomee kupanda tren tutahujumu mpaka hayo mabus yenu shwainiii kabisa

Back
Top Bottom