Siasa za Humphrey Polepole zaiponza TRC. Safari za treni Dar - Kilimanjaro zaanza kupuuzwa, Wizara ya Uchukuzi yalaumiwa

..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?

..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.

..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
Kinachofanyika ni kufufua vilivyokufa kwanza alafu tusonge mbele
 
Mimi nawafananisha wachagga na enzi za nabii mussa alipokwenda kuwaokoa kutoka kwa farao kwa ajili ya mateso walipokuwa njiani wanaondoka wakamwa mbia nabii mussa tuna njaa tutapata wapi chakula nabii mussa akamuomba mungu chakula kikawa kinakuja kutoka mbinguni kila siku wanakula chakula fresh. Mwisho wa siku wakambwambia nabii mussa tumechoka na chakula chako

Sasa kama kweli walichoka kula mikate ulitaka wanyamaze sababu wanapewa bure na Mungu?. Kupewa bure haikuondolei haki ya kuchagua kizuri zaidi
 
..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?

..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.

..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
Hata akijenga barabara ungesema bora ajenge viwanda wabongo munazingua tu
 
Wafanyabiashara walitumia hila ili ife....

Tunarudi relini kaa chonjo.

Tunajisahihisha

Mkuu hebu tenda haki

Nani au chamagani cha siasa kulikuwa madarakani nakuwa

1. Reli
2. Usisahau Elimu pia Afya

Tusifanye kusifia wahalifu waliostahili kunyongwa.
 
..nani anayekwenda huko ana muda wa kupoteza kupanda treni?

..badala ya kukarabati hiyo reli, bora fedha zingeelekezwa kujenga barabara za vijijini.

..serikali imejifanyia tu huu mradi bila kushirikisha wadau na wananchi.
Nyie amjui tu huo usafir unavyo saidia watu wa chini mnajimwambafy kwanza nilikua najua sikuiz watu awapandi treni siku nakutana nalo limesheheni nikafurahi mwenyewe.
 
Jana nilikuwa club moja maarufu ya pombe hapa kimara baruti, baada yakusomwa taarifa hyo na tv pendwa ya wachaga kuhusu treni kuzinduliwa kwenda moshi, wachaga wote walikipuka kwa shangwe na vigeregere kwa furaha kuu. Lakini nilibifunza yafuatayo. 1. Kumbe wachaga wengi ndo wanywaji wapombe kuliko kabila zingine. 2. Ma bar_med wengi niwachaga, na 3 kumbe wameteseka mda mrefu sana. Maana magufuri babalao ndo ilitawala baa nzima
 
Wacheni uzushi, inaonekana wengi bado hamjamuelewa Magufuli, treni sasa hadi Moshi, wakazi wa Kilimanjaro kunufaika pakubwa, hayo mengine hakuna mwenye haja nayo. Magufuli anafanya mambo ambayo yataandika historia ya Afrika upya.
Ngombe wa kupanda treni ya 1906 wapo kanda pendwa tu. Huko mtapata hasara big time maana hao jamaa zangu hawana mifugo kiivyo
 
Mungu ambariki Polepole (Kwa sauti ya mleta uzi)
😂😂😂😂😂😂
 
Umemuelewa mtoa mada mkuu?
Wacheni uzushi, inaonekana wengi bado hamjamuelewa Magufuli, treni sasa hadi Moshi, wakazi wa Kilimanjaro kunufaika pakubwa, hayo mengine hakuna mwenye haja nayo. Magufuli anafanya mambo ambayo yataandika historia ya Afrika upya.
 
Kitendo cha Polepole kutumia mali ya umma ili kutafuta umaarufu kwa chama chake kilichochoka cha CCM kimewatafakarisha baadhi ya wadau wa usafiri, ambao wameweka msimamo wa kutokutumia usafiri huo abadani.

Polepole si kiongozi wa serikali wala si Ofisa wa Shirika la reli ama wizara husika, haifahamiki alikopata kiherehere cha kuingilia mipango isiyomhusu na kujichomeka kwenye kinachoitwa uzinduzi wa safari za treni Kilimanjaro - Dar, Watanzania si wajinga kiasi hicho.

Wizara ya Uchukuzi na Shirika la Reli msitumike kishamba namna hii, sasa kwa taarifa yenu wadau hawatatumia huo usafiri wenu wa kisiasa. Wameapa kuendelea kutumia Ngorika, Dar Express, Kidia one, Kilimanjaro na Sai Baba.

Sasa siku mkianza kutukanwa hadharani kwa kuchelewesha gawio msimlilie mtu, mfuateni Polepole awasaidie.
Mimi nadhani tujikite kwenye msingi wa kwamba kuna unafuu wa usafiri utapatikana.Tunatesekaga jamani.Ni kitu kizuri sana.Haya mambo ya kuangalia watu badala ya mafanikio hayanisaidia sana ninapokuwa na mke na watoto wangu Ubungo kondakta ananitajia elfu arobaini kwa kichwa,tena kwa dharau.Natoa pongezi zangu kwa hatua hii, 'irrespective' ya hali watakayoanza nayo.
 
Mi naona tatizo liko na shirika la reli lenyewe, hivi wamepata majibu ya kwanini njia hiyo ilitelekezwa awali na sasa kuna uhitaji wa huduma hiyo umejitokeza. Kuna wanaosema reli itasaidia kusafirisha mizigo lakini tafiti zinaonesha kuwa reli zetu zina garama kubwa kuzidi hata magari ya mizigo. Hicho ndo kiini cha tatizo. Sioni kwa njia chakavu kama hiyo inayohitaji matengenezo kila siku itakuwa na faida kwa TRC. Kama yangekuwa mawazo yangu wangeboresha huduma ya reli Kigoma na Mpanda badala ya kuhangaika na hiyo njia. Kwa utaalam wangu mdogo reli ina faida inaposafirisha mzigo kuanzia km 600 na kuendelea chini ya huo umbali huo usafirishaji kwa njia ya barabara unakuwa na gharama ndogo zaidi.
 
Kama naiona Kigoma Imehamia Moshi vile.ukifika Stand unaona kichwa kinarukaruka,,,nadhani na ubongo huwa unatikisika ndio maana watu wa kigoma ni wabishi na wanaongea kama chiriku.
 
Tangu lini serikali ikafanya biashara ,serikali kazi yake ni kukusanya kodi na kuchunga maliasili zetu
 
Fact ila washauri wachagga wasijekuwa mbuzi wa kafara kwenye huo usafiri sijajua toka lini serekali ya awamu ya tano ikawapenda watu wa kaskazini kiasi hicho !
Hivi mnawajua wachaga au mnawasikia?

Nani alisema moshi tunashida ya kupanda hayo matolori?

Hiyo reli ilikufa kwakua haikuwa na tija, na hata sasa haina tija.

Hakuna mchaga utakayemsafirisha kwenda moshi kwa saa 18 kisa tofauti ya Tsh 4000 kwenye basi.

Itakufa tena na tena.
 
Back
Top Bottom